Recent content by albert damian

  1. A

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa walimu, NMB vs CRDB

    Crdb wana makato mazuri na riba iko chini
  2. A

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni leo Alhamisi July 9 2015, usitishaji bunge la awamu ya nne

    Majizii yapo hewani nuw..
  3. A

    JamiiForums Tanzania Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    Thumb up...wako sahihii
  4. A

    JamiiForums Tanzania MOSHI MJINI: CCM Jipangeni vizuri ili kuleta mabadiliko ya kweli!!

    Magambaa wanatapata Sanaa..ccm tulishaizikaa moshi mjini..
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Ninafanya kazi na ustawi wa jamii
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba

    Wadau, Mimi ni kijana wa kiume umri miaka kati ya 25-26.Ninatafuta mchumba mwenye tabia njema na upendo wa dhati, awe na umri kati miaka 24-22.Sibagui dini wala kabilaa kwa alie tayari. Tuwasiliane kupitia No 0755519292
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti iliyopitishwa naombeni ongezeko la mishahara ya walimu

    Hiyoo wavutii ya serikalii ipi..inayoishiaa na co..kuna utata hapo
  8. A

    JamiiForums Tanzania Fanya hivi kumpata anayekufaa

    Wakuu nimekua nikiomba Mungu anipatiee fungu je ma..(mke mwema) ingawa umri hausubiri..lakini ninaamini Mungu wangu hachelewii
  9. A

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti iliyopitishwa naombeni ongezeko la mishahara ya walimu

    Serikalii ijayoo tumpate kiongozi atakaekuwa anajali na anatekeleza na kusikiliza matatizo ya watumishi especially walimu ambao ni kada hakuna hâta allowance yoyote ukilinganisha na kada zingine..sio kila kitu wanaleta propaganda na ahadi ambazo hazitekelezeki
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti iliyopitishwa naombeni ongezeko la mishahara ya walimu

    Ngojaa tusubiri tuone..manake serkali yetu mipango mingi lakini utekelezaji ni tatizo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti iliyopitishwa naombeni ongezeko la mishahara ya walimu

    Daah kwa hali hii kura lazima tupigee ukawa
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwa bajeti iliyopitishwa naombeni ongezeko la mishahara ya walimu

    Wakuu kwa bajeti hii iliyopitishwa kuna ongezeko lolote la mishaharaa hususani katika kada ya ualimu..mwenye taarfa tujuzanee
  13. A

    JamiiForums Tanzania Sisi walimu wa shule za msingi

    Kwaiyoo mwezi wa saba unaoanza tutegemee ongezeko wakuu
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amechuja sana kisiasa

    mletaa mada lazimaa utakua na hitilafu kichwani mwako..tambua kichwa si kwajili ya kufugiaa nywele..katika watu tunaowaitaji kwa tanzania ya leo ni dr slaa..huwezi kunfananisha na rais anaejiumauma katika maamuziii...
Back
Top Bottom