Recent content by Alatuhiga

  1. A

    JamiiForums Tanzania Makambako: Mwandishi wa Raia Mwema avamiwa na kukamatwa na Polisi nyumbani kwake saa 9 alfajiri. Polisi wakana kumkamata

    jamani mmmmmmmmmmmm!!! inaumiza sana kusikia habari kama hizi,na kama wewe ni Mtu wa Mungu Yesu muumba wa vyote, mwenye mamlaka ya kutoa uhai wa kiumbe chake na kukipa uhai kiumbe chake. jamani kwa hiyo hajulikani alipo hadi sasa? au ??????????????
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    have changed to chama kimoja tu.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Picha: Wananchi wakinunua kadi za ACT wazalendo kwenye kampeni.

    Mtu mwingine wa kumhurumia ni Chiku Abwao.Alifikiri Zito ata pata wabunge wa viti maalumu apate kupitia huko wasiambulie hata kiti kimoja cha upendeleo
  4. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa: CCM isijidanganye

    Sasa wewe unafikiri umungu mtu utaendelea kuvumiliwa na Mungu aliye hai?kwani huoni Ghana,Gambia ,Zambia ,Kenya, Malawi nk unafkiri vyama tawala huko hawakupenda kung'ang'ania madarakani?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Zitto, ACT Wazalendo hatarini Kufilisiwa

    Huyu kijana arudi tu cdm kabugi step,hamna chama huko
  6. A

    JamiiForums Tanzania Mazuri na mabaya ya Rais Magufuli tangu awe rais wa Tanzania

    Mi najua hafai kwa sababu mkisha kuwa na Rais anaye fanya maisha yenu kuwa magumu sijui atakuwa anawa faa nini?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wapemba wateswa na uamuzi wa Mh. Seif Sharif Hamad

    Ni utaratibu wa wa roho wa madaraka wakishindwa uchaguzi kulazimisha wa rudie hadi wa shinde wao
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja CCM kwisha

    kwanini unasema x mass?Hiyo x ndiyo inakaa badala ya Christ? usitumie X kwa sababu huo ni mpango wa ibilisi kumfuta Bwana Yesu
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mhe. Edward Lowassa na Maalim Seif Shariff Hamad Wafanya Mazungumzo kuhusu Mwenendo wa CUF

    mwenyekiti yupo kuwashitaki ulaya
  10. A

    JamiiForums Tanzania Marais watakaohudhuria sherehe za Uhuru ni Mugabe, Nkurunziza, Kabila, Museveni, Kagame...

    Ukiangalia hiyo list ni ya wababe wasio zingatia utawala wa sheria kasoro wachache
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe, Tundu Lissu na John Mrema wakiwa ndani ya Bunge la Ulaya

    picha nyingine wapo ndani mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Patrick alisha iacha imani,ndiyo kuanza vituko namna hii
  13. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Kulikuwa na ushauri wa bure kuwa mtumishi wa Mungu kama Kakobe usi jaribu kufikiri utapambana naye kwa uongo na kufanikiwa
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yafuta kesi ya madai dhidi ya Askofu Kakobe kwa kukosa mashiko

    Kwani wewe una fikiri yuko wapi?Ni mtumishi wangazi ya juu mno ndiyo maana humuoni
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tutasimama kama UKAWA kwenye chaguzi zijazo, je Bwana yule atasimama kama CCM "B"?

    nyi maccm mnadakianini?Hamna dini nyinyi mnatumia dola na msajili kuvuruga vyama vingine.Wamepata mafanikio ya kutisha kupitia UKAWA,tazama wabunge Bara mpaka Kusini imekuwa ngome yao
Back
Top Bottom