gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,045
Yawezekana ikawa na ukweli hii habari maana tumeshuhudia viongozi waandamizi wa chama hicho wakihama chama kwa sababu ya kukosa viposho posho na mishahara yao
Hata chadema wanahama mkuu.Yawezekana ikawa na ukweli hii habari maana tumeshuhudia viongozi waandamizi wa chama hicho wakihama chama kwa sababu ya kukosa viposho posho na mishahara yao
Kuna dhihaka gan sasa hapo ?Ilipofahamika kuwa Mbowe anadaiwa mabilioni alitetewa sana, leo Zitto anadhihakiwa, japo bado ni tetesi. Hakika nimeamini cdm kuna watu na viatu.
Kudaiwa ni kudhihakiwa, yeye alipe tu hakuna dawa nyingine zaidi ya kulipa.Ilipofahamika kuwa Mbowe anadaiwa mabilioni alitetewa sana, leo Zitto anadhihakiwa, japo bado ni tetesi. Hakika nimeamini cdm kuna watu na viatu.
La kipuuzi kwa vile limeandika Zitto anadaiwa?Hilo gazeti la kipuuzi sana...tangu lilivypotezea habari ya kupotea kwa ben
nimeelezea kwa nini naliona la kipuuzi...wewe umetoa sababu zakoLa kipuuzi kwa vile limeandika Zitto anadaiwa?
Tatizo lenu mnasoma heading tu na ku-conclude, Zitto mwenyewe kasema ni kweli anadaiwa upuuzi uko wapi.nimeelezea kwa nini naliona la kipuuzi...wewe umetoa sababu zako
again...sijasema la kipuuzi kwa sababu zito anadaiwa...nimetoa sababu zanguTatizo lenu mnasoma heading tu na ku-conclude, Zitto mwenyewe kasema ni kweli anadaiwa upuuzi uko wapi.
AmeenMwanampotevu atarudi nyumbani kwa wazazi na kusamehewa makosa yake yote.
HahaaAnayefurahia mwenzake akipatwa na mabaya ni shetani peke yake.
Sidhani kama jf kuna mashetani.
Wakitangaza mnada tutaarifiane jamani hitaji langu ni meza na kile kiti cha kuzunguka alichokuwa anakalia prof Kitila Mkumbo.
Anakopa kwa niaba ya chama ili ashinde jimbo lake tu halafu anataka chama kilipe.Nimeisoma habari hii. Chama kupitia Msemaji wake Abdallah Khamis kimekiri kudaiwa Dola za Kimarekani 144,450 (Tshs. 313,456,500) ambazo zilikopwa Zitto alikopa kwa niaba ya chama chake kwa raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) mwana mama Soraya Aziz Souleymanne mwaka jana kwa ajili ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu. Matunda yake yalionekana kwani chama kilishinda jimbo la Kigoma Mjini. Chama kimeahidi kulilipa deni hilo. Kukopa ni jambo la kawaida ila kufilisiwa ni jambo la kusikitisha. Lakini madiwani na mbunge wa Kigoma Mjini wakichangishana mbona rahisi tu kulipa? Vyama vingine wabunge na viongozi wake huchangishana kuendesha Vyama vyao. ACT- "Wazalendo" mchangieni Zitto aliyekopa kwa niaba ya chama.
Huyu kijana arudi tu cdm kabugi step,hamna chama hukoWanaaanza lini kumfilisi? Wakianza wiki hii pia sio mbaya,serikali ya sasa hivi hawachelewi sana katika utendaji wa kazi.
Pamshinda pako...pamputi pachepa masino weehNadhan hapo kuna typing errors labda n Mbowe ndo yuko njian kufilisiwa
Pamshinda pako...pamputi pachepa masino weeh