Marais watakaohudhuria sherehe za Uhuru ni Mugabe, Nkurunziza, Kabila, Museveni, Kagame...

View attachment 443917

Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
Wote wana sifa moja kuu! Tumekwisha Tanzania.
 
Ukitoa Lungu na Kenyatta wengine wote wana something in common
 
View attachment 443917

Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
hii itakuwa sherehe kubwa kuliko zote za Uhuru tulizowahi kushuhuda- Marais wanane au tuseme 9 sio mchezo. Inasaidia maana mwaka jana tulisevu kwa hivyo mwaka huu safi. Na ni busara kufanya sherehe kubwa sio kila mwaka, next iwe 2018!
 
View attachment 443917

Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
It is sad- huyu wa Malawi ametengwa - angekuja naye ingawaje yule kwa Chinga sijui imekuauje haji!
 
hakuna kitu kiitwacho Uhuru wa "Tanzania Bara". Hakuna nchi iitwayo Tanzania Bara! Ipo nchi iitwayo TANZANIA ambayo ilianzishwa mwaka 1964!
Kwaio unataka kusema mke na mume wakioana hawashehekei siku zao ya kuzaliwa bali siku zao yao ya ndoa?Tanzania ni Muungano wa inchi mbili Tanganyika(tanzania bara) na Zanzibar (Tanzania visiwani) period....
 
Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
  1. Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
  2. Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
  3. Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
  4. Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
  5. Rais Paul Kagame wa Rwanda,
  6. Rais Edgar Lungu wa Zambia,
  7. Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
  8. Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
-Lungu na hata Kabila walikuwepo hapa juzi tu napata mashaka kama watakuwepo tena
-Kama wakija wote hao basi ni jambo la heri, namwomba pia na Raisi wetu na yeye akawatembelea wasije wakakata tamaa na sisi, hasa mzee Mgabe.
 
Kwaio unataka kusema mke na mume wakioana hawashehekei siku zao ya kuzaliwa bali siku zao yao ya ndoa?Tanzania ni Muungano wa inchi mbili Tanganyika(tanzania bara) na Zanzibar (Tanzania visiwani) period....
Kama kuna Tanganyika then Hakuna Tanzania na kinyume chake pia. hivyo viwili hawezi kuwepo pamoja kwa wakati mmoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom