Recent content by al4nse

  1. A

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akamatwa na kushikiliwa na TAKUKURU mkoani Singida

    Bavicha watasema amekamatwa kisiasa.......Ngoja wampeleke mahakamani ndio kitaeleweka. Vijana acheni mbwembwe na vijisenti vya WIZI.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Magufuli ameshindwa kwenda na ndege ya Rais? Watangulizi wake walionunua ndege ndogo ya Rais hawakuwa na akili?

    Kwani unajua ziara yake ina watu wwangapi? Na imegarimu kiasi gani??
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tabu au nafuu: Mbeya - Dar Fastjet nauli ilikuwa ni Tsh 70,000, Air Tanzania kwa sasa ni Tsh 183 700

    Kwa waliotumia ndege za fast JET...> Route ya mbeya haijawahi kufika 70,000. Jamani 70,000 ni nauli ya basi....regardless. Hi yo Laki tatu anayoizungumzia ni nauli ya Business Class......
  4. A

    JamiiForums Tanzania Tabu au nafuu: Mbeya - Dar Fastjet nauli ilikuwa ni Tsh 70,000, Air Tanzania kwa sasa ni Tsh 183 700

    Fast JET ilikuwa 70,000?? We we utakuwa unazungumzia nauli ya Basi?? MATEMA, ABOUD, HOOD etc.. Mkuu hakikisha Tiketi yako, maana naona unachanganya nauli ya basi na ndege.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways kuongeza ruti ya kutokea KIA kuanzia tarehe 01/06/2019

    Option ya kwenda wapi?? Hiyo kitu haitui ubungo hiyo......
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kama kuna mtu anadhani anaweza kuua CHADEMA basi ni lazima atakuwa Mwehu , mwenye akili timamu hawezi kuwaza kwa kiwango duni kiasi hicho

    Mnaogopa chama kuwafia mkononi? Tulieni baada ya 2020 mje na mrejesho........ Mlimshindwa JK mtaweza kupambana na chuma.?? Mtamuweza JIWE ?? Acheni kuweweseka wenzenu wanafunga mahesabu...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Anayetangaza kuna dengue atafute mradi mwingine, huu umekwama!

    Huyu ndio yule alinaswa akipiga shoo ya aina moja?? Jamani DENGUE ipo, tuwasihi tu hawa wachungaji wakae kimya kwenye mambo yanayohusu afya za watu, wao waendelee kula watumishi wao.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Prof. Assad aula, aingia mkataba na Sweden kukagua miradi yote ambayo Tanzania inashirikiana na Sweden

    Tuwaulize tu mnaodhani hili jambo ni jipya! Misaada na mikopo yote serikali inayoipata huingia kwenye "Mfuko Mkuu wa serikali", "Consolidated Fund". Kila mwaka CAG hukagua mapato na matumizi ya serikali i.e Kinachotoka na kuingia kwenye mfuko mkuu wa Serikali. Kinachosainiwa sio kipya, tulieni.....
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Mkataba wa Wachina Bandari ya Bagamoyo, Tuna Viongozi wa Ajabu haijapata kutokea ! Tumshukuru Mungu kwa Hili

    Ukiona watu wanapiga kelele kumpinga JPM ujue ndio wale kama alivyosema "MEMBE"....wamekatwa MIKIA, ni watoto wa kambo.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

    Kwani unadhani Tshekedi ni mpinzani ?? Kabila aliwachezea mapichapicha wazungu na Mapadri wa kanisa Katoliki akawapiga chenga ya mwili..... Walipokuja kuelewa mambo yakawa Tatu bila...... Unawezaja kuwa rais ilhali 80% ya mawaziri ni upinzani, Spika wa bunge mpinzani , 80% ya wabunge...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nassari aingia mkataba na Obama Foundation

    Aliamua kuacha ubunge ili apate hiyo kazi?? Amewapika changa la macho UKAWA...na Chadema.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa kazi na Wizara ya uwekezaji mnafukuza wawekezaji

    Woga wa nini? Kwani mna vyeti FEKI? Mbona Leseni na passport mnatembea nazo ORIGINAL....
  13. A

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

    Chuki inatoka wapi hapo? Kama ofisi ya CAG inapaswa kukaguliwa kwanini isikaguliwe? Kumbukeni anayekaguliwa siyo CAG bali ni ofisi ya CAG, Acheni porojo??
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Robert Kisena afutiwa Mashtaka ya utakatishaji fedha na Mahakama. Yeye na Mkewe wakamatwa tena, wafunguliwa mashtaka mapya

    Ruge na singasinga hawawezi kurudisha hela walizoiba...rejea hela walizoiba zitawatokea kwenye kila tundu.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mbilinyi "Sugu" : Kama kuna mtu ana mpango wa kugombea Mbeya Mjini asahau, wana Mbeya wameshafanya uamuzi

    Awamu hii sio ile, hii ni awamu ya Tano ambayo wabunge wa upinzani ukiacha wachache wanaogopa kwenda kuwatembelea wapiga kura wao. Ngoya JPM awapige ziara ya siku 8
Back
Top Bottom