Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

Rais wa DR Congo ateua Waziri Mkuu mpya

Atajiimarisha na atafanya mageuzi makubwa na baadaye kushinda kama vile ilivyotokea malawi
Hahahaha ,ila kwa kumteua Prof Ilunga as PM ,means hapo JKK anaongoza bado kwa asilimia zote

Ni kweli Felix at ajirimaisha tu ,Ingawa bado anacheza/kuchanga karata zake vzr
 
80% kama ni watiifu kwa kabila bhas maana yake kabila ndio rais wa congo(de facto presedent) na Tsheked atakuw ceremonial presedent kama alivyo rais wa German kwakuw Tsheked akileta ubishi kwa kabila bhas bunge litamtoa kwa kura ya kutokuw na iman nae,kwa kifup ni kwamba kabila kwenye uchaguz kapiga chenga wa congo na dunia
 
Shida inakuja pale ambapo 80% ya mawaziri wanatoka chama cha KABILA na 20% wanatoka chama cha TSHEKEDI..!! Wasije tu na mtazamo/mlengo wa kumkwamisha Mheshimiwa Rais,ngozi nyeusi haitabiriki!! Mose Katumbi nae aangaliwe kwa jicho pana!

Kwani unadhani Tshekedi ni mpinzani ?? Kabila aliwachezea mapichapicha wazungu na Mapadri wa kanisa Katoliki akawapiga chenga ya mwili.....
Walipokuja kuelewa mambo yakawa Tatu bila......

Unawezaja kuwa rais ilhali 80% ya mawaziri ni upinzani, Spika wa bunge mpinzani , 80% ya wabunge wapinzani....?? Unatakiwa uwempole tu na ukubali kuwa pamoja nao...yaani Tshekedi ndio atawasaliti wapinzani wa kweli.
 
Majenerali wengi ni watu wa Kabila toka yy yuko jeshini , na Gen Numbi na Gen Tango ni maswahiba haswa toka kitambo

Ila napenda jinsi Felix Tshishekedi anavyodili nao , kdg kdg kimya kimya
Mtu Chake tujuze kidogo anadili nao vipi
 
Huyu hakushinda na evidence mojawapo ndo hii. Walimuibia Fayulu ushindi wake. Hivi ana chama chake inakuwaje anachagua Waziri mkuu kutoka chama cha Kabila?
 
Huyu hakushinda na evidence mojawapo ndo hii. Walimuibia Fayulu ushindi wake. Hivi ana chama chake inakuwaje anachagua Waziri mkuu kutoka chama cha Kabila?
Hahahaha, Katiba ya Congo, chama chenye wabunge wengi ndio inatoa PM na Spika wa Bunge

Hata angekua Fayulu ,lzm FCC ingetoa PM na Spika ,sababu hata Fayulu hana wabunge kuzidi FCC
 
Tatizo lenu mmesahau kuwa Kabila si mkongoman halisi na wakongo wanampenda usoni tu lakini moyoni hawako na kabila, hata hao wanajeshi wanajua, wanajeshi hawanaga rafiki wakudumu, hivyo watu wasitegemee ati vile walikuwa mtiifu kwa kabila basi ndio hawawez kumbadilikia na kumpa kisogo, anything can happen.wacongoman wanaojua historia ya viongozi wao hawawezi kumshobokea kabila, wanaomshobokea ni kwasababu za maslahi yao binafsi na so vinginevyo.kurudi kwa moise katumbi kumemuongezea point nyingi president, vile wafuasi wa katumbi wanampa big up president, hii itamfanya kupata utulivu wa moyo Mr President.
 
photo-2019-05-20-17-33-23_0.jpg


Photo of the new DRC Prime Minister Sylvestre Ilunga Ilunkamba.

After a four-month wait, Sylvestre Ilunga Ilunkamba has been named as the prime minister of the Democratic Republic of Congo. An economics professor at the University of Kinshasa since 1979, he began his foray into politics in 1970.

Ilunga was a key player in President Mobutu Sese Seko’s cabinet, including a stint as finance minister from 1990 to 1991, but had had not been front-and-center in Congolese politics recently until now.

Ilunga was named on Congolese state television on Monday. The professor, originally from mine-rich Katanga, had been the head of the beleaguered national rail company since 2014, which for some critics calls into question his ability to do the top ministerial job.

Part of the delay in naming a prime minister came from former president Joseph Kabila’s political party People for Reconstruction and Democracy Party (PPRD), who won a majority in parliament, earning the right to name the prime minister.

The drawn-out negotiations were the result of a number of rejections by President Felix Tshisekedi from Kabila’s PPRD, including former ministers under Kabila, until Ilunga was agreed upon.

The Prime Minister wields power under the Congolese constitution, but Ilunga, according to analysts, will need to balance both Tshisekedi and PPRD in order to be an effective prime minister.

Ilunga will now form a new cabinet, perhaps with some PPRD ministers, as Congolese are watching Kinshasa.
Source : www.rfi.fr

Source : africanews
 
Moise Katumbi kurudi Congo
4 Oct 2016
Salim Kikeke alizungumza na kiongozi wa chama kimoja cha Upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Moise Katumbi na kumuuliza kama atarudi nyumbani Congo.
 
Back
Top Bottom