Bungeni: Spika Ndugai amsimamisha Stephen Masele uwakilishi wa Bunge la Afrika. Bunge limeteua mkaguzi kumkagua CAG

Miaka yote CAG amekuwa akikaguliwa
Na kama Hakuwa akikaguliwa na mwenye jukumu la kuteua Mkaguzi ni Bunge na halikuwa likifanya hivyo jee huo ni udhaifu wa Bunge au CAG?

Ndugai bado kiungulia cha kuitwa dhaifu hakijamuisha

Walio karibu nae wamshauru alambe majivu ku neutralize Acid kifuani

Pia wamkumbushe CAG sio Accouting Officer wa Ofisi ya ukaguzi wa Taifa kwa kuwa walioifuma Structure ya Ofisi ile walitabiri uwepo wa Kina ‘Ndugai’!
Kwani NAO na CAG ni kitu kimoja au ni tofauti?!
 
Duh!

Hiyo ripoti ya ukaguzi ya CAG ina madhara gani kwa CAG, sheria gani inasema CAG akaguliwe?

Kanuni za Bunge zinaweza kua juu ya sheria za nchi? Sijawahi kuona sheria za kumtaka CAG akaguliwe.

Bunge halina mamlaka ya kumuondoa CAG, hata wakiwapa kampuni 2000 za ukaguzi bado hawana mamlaka juu ya CAG, kitu peker chenye nguvu juu ya CAG ni Mahakama na rais na iwapo tu hakutimiza majukumu yake.

Mangesho ni consultancy firm, sasa walipewa kazi ya kukagua vitabu vya hesabu au perfomance audit au forensic?

Kweli ndio maana Milembe ilijengwa Dodoma.
 
Eti Masele anapeleka umbea serikalini....Hapo itakuwa Jiwe ndiye kamtonya Ndugai kuwa jamaa anapeleka maneno maana haiwezekani Ndugai achukue hatua mwenyewe. Ila ninachojua Masele ni agent wa CIA huenda hii ndo imekuwa sababu ya kumchapa!
 
Ndugai bana. Yaani tangu ule ufisadi wake mkubwa alioufanya wakati "anatibiwa" India ufichuliwe, chuki yake kwa CAG imekuwa kubwa sana.

Chuki inatoka wapi hapo? Kama ofisi ya CAG inapaswa kukaguliwa kwanini isikaguliwe? Kumbukeni anayekaguliwa siyo CAG bali ni ofisi ya CAG, Acheni porojo??
 
Sasa wewe unataka CAG asikaguliwe!
Tatizo ukaguzi huu wa Supika umekaa ki visa visa...mkuu haushangai CAG woote waliopita hawajawahi kukaguliwa, hapa kuna kitu DHAHIRI kinapikwa!.

Kumbuka Supika alishakuambia bunge lake dhaifu lilishaazimia kutofanya kazi na Prof Assad, sasa unganisha dots na hizi sarakasi mpya dhidi ya huyo huyo CAG!.
 
Back
Top Bottom