Hiyo njia ya Kamhanga inapitika? Kuna usafiri wa uhakika? Kwa sababu wote wanaotoka Buchosa kwenda Geita hupitia Sengerema tu. Huko unakosema ni njia zisizopitika
Chanzo cha taarifa hii ni kipi? Taarifa yako haioneshi umeipata wapi kama ni kwa Kamanda wa Polisi, Mkuu wa Wilaya ama Afisa Elimu. Jaribu kuweka taarifa ambazo zina chanzo cha habari
Nimemaliza form six PCM mwaka 2017 na nimepata D masomo yote. Ninapenda kosoma kozi yoyote ya uhandisi au masuala ya architecture hapo UDSM au Ardhi University. Je kwa ufaulu huu unanishauri niapply kozi gani kulingana na ushindani uliopo na soko la ajira mara baada ya kumaliza kozi? Natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.