Members wenye picha ya Putin kwenye profiles zao ndiyo wanaongoza kuandika maudhui ya ngono hapa jukwaani wakati role model wao hata demu hana.
Sijui sababu lakini
Uchaguzi wa 2022 haukuwa na mauzauza yoyote Ruto alishindwa fairly ila Odinga hakuwa mshindani anayekubali kushindwa.
Na sasa tishio kuu (Odinga ) halipo atashinda kirahisi tu
Hao wasomi hawakuwepo 2007, 2012, 2017, 2022.?
Katika miaka yote hiyo Ruto amekuwa kwenye upande ulioshinda uchaguzi ikiwemo 2008 iliyosababisha mauaji.
Chaguzi zote za kenya tangu 2007 Ruto amekuwa kambi iliyoshinda uchaguzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.