Recent content by Al-habsy

  1. A

    Ngozi nyeupe ndivyo walivyo?

    Wewe ----- eleza vizuri,tu hawezi kukurupuka akakutukanatu bila sababu...utakuwa tu ulifanya vioja au uligonga gari yake...
  2. A

    Tamko kutoka TBC: Mvua iliathiri mitambo wakati wa hotuba ya Lissu

    ni ufafanuzi uharo kutoka tbc...walipewa maagizo wakate haraka matangazo, ni upuuzi na sizani kama wanaelewa kuwa kwa mtindo huu wanajenga hisia za chuki dhidi yao kutoka kwa wananchi na wanaonekana wako kwa ajili ya chama flani tu...watu sasa hivi wameelimika na kwa mtindo huo wao ndio...
  3. A

    Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

    Wameahirisha bunge lao mpaka saa kumi..ilikuwa ni zomeazomea tu, wabunge hawataki kukaa, mwenyekiti wa muda kashindwa kabisa kuwanyamazisha hatimae akaahirisha bunge. Kuna baadhi ya wabunge walitaka kupigana...hiyo jioni sijui itakuaje maana niliyoyaona leo asbh ni balaa...
  4. A

    Hassan Marin wa TBC hafai kwenye TV

    Hassan Marin..yuko safi sana, unless kama huwa huaangalii media za nje. Sioni kama ana tatizo, nimetizama mahojiano mengi ktk Aljazeera, CNN, CNBC kwa watu maarufu wenye heshima sana duniani lakini pozi za watangazaji hata maswali wanayoouliza pengine ni ya kipuuzi sana kuliko hata ya salma...
  5. A

    R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    Safi sana kaka...huyo anaemsifia Sharon ni mvivu wa kusoma historia na ni mzembe wa akili kama sio ana kansa ya ubongo. Sharon alikuwa muuaji na ndio maana mungu nazani kamtesa katika koma miaka 8. Kaua watoto, wanawake wa kipalestina wasio na hatia...MUNGU AMLAZE MOTONI....
  6. A

    Yaliyonikuta leo stanbic bank kariakoo sokoni

    Mchezo huo upo sana na Bandarini pale long room...kuna siku nilikua nalipia ushuru wa gari jamaa akaniliza 30,000 akasingizia zimepungua wakati pesa nilikuwa nimetoka kuzitoa bank muda huo huo na sijatoa hata sent. Nilikasirika na nilizua timbwili kubwa sana pale...yaani wezi sana bank...
  7. A

    Wa hivi ni wachache sana; uwahi?

    Kapime ngoma rafiki yangu..hiyo hadithi yako utata mtupu..alikuachia pesa ya sanda na chain ya silver maiti yako ipendeze...
  8. A

    Sijapenda kabisa ALJAZEERA walichomfanyia JK katika mazishi ya Mandela

    Sizani kama Al-jazeera wana leongo baya kuhamisha location, tatizo wana reporter wengi sana wametapakaa SA na wanataka kuonyesha matukio mengi yanayohusiana...hakuna uadui wowote TZ na Al-Jazeera, hakuna Chanell bora isiyo na mipaka wala matabaka kama Al-jazeera...
  9. A

    Sijapenda kabisa ALJAZEERA walichomfanyia JK katika mazishi ya Mandela

    Naona Thabo Mbeki kashindwa kujizuia analia baada ya kusikia hotuba ya Kikwete....
  10. A

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Mbona mbowe hayupo ktk list?...
  11. A

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    Hao azam kama wako kibiashara watatangaza tu ikifika muda...
  12. A

    Maajabu ya Supu Ya Pweza

    Jaribu tende na maziwa fresh ni zaidi ya supu ya pweza.
  13. A

    Mapapa 560 wa Madawa ya Kulevya watajwa. Wamo Morine Amatus Liyumba na mdogo wa Rostam Aziz

    Wauza unga, watumia unga, wasafirishaji unga ni ndugu zetu marafiki wetu, majirani zetu...tunajuana na tunawajua sana. Ni wajibu wa kila raia mwema kusaidia kwa hicho wanachoita ''polisi jamii''...hata hiyo list ni sisi wenyewe watanzania raia wa kawaida ndio waliotaja....
Back
Top Bottom