Je wajua kuwa wachezaji wa mpira, basketball au mchezo wowote wana IQ na photographic memory?
Je wajua kuwa wachezaji wa mpira, basketball au mchezo wowote wana IQ na photographic memory?
Miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa kama LeBron James wanaweza kukumbuka matukio yote ya kwenye mechi wanazocheza?
Angalia hapa kupitia YouTube jinis LeBron James anavostaajabisha watu kwa kumbukumbu sahihi
https://abdurrahmanorg.files.wordpress.com/2014/08/the-search-for-the-truth-salman-al-faarisse-dr-saleh-as-saleh.pdf
Kazi kwako sasa, kuutafuta ukweli au kukaa hapo na kubisha.
Ulijuaje nimeyatoa kwenye QUR'AN na huijui?
Ukiwa hujui usidhihirishe kuwa hujui, angalau sema usaidiwe.
Ukiprove sentensi moja nimetoa kwenye QUR"AN na sehemu gani basi angalau nitajua unataka usaidiwe.
Anyway sio kila mtu aanzishe uzi.
Kul
Kulijibu swali lako na kuprove ni jambo gumu sana, ila katika uislamu tunaamini kuwa QUR'AN haikuumbwa kutokana na binaadamu, ila ALLAH ndo aliyoyaumba matamshi yake na kumshushia mtume Muhammad (pbuh), na pia tunaamini kuwa kitabu cha torah cha waisrael na injil ya wakristo pia ni vitabu...
Kila mwanaadamu ni creative, haijalishi awe medical student au engineering student.
Tatizo kubwa linatoka katika mfumo wa elimu na kupandikiza tabia hizi za kuwa creative au kutokuwa creative.
Wanafunzi wengi(sio wote) wa medical wanaona kazi yao kutibu magonjwa yaliyopo tu na sio kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.