Sio hao tuu hata kazi zingine,sehemu kubwa wanaombwa kabla au baada,hata kuolewa wanatoa kwanza sembuse,
Ukiona dereva,konda,nesi,dokta hasa za kuomba binafsi,ukinzi,migahawa,bar ,hotel,duka kubwa,usimamizi,jua sio wote ila wapo wanaopigwa kila jamaa likitaka