maandiko hayakusema kuhusu tundu la nyuma.nafikiri ni vyema tuliridhike tu na maandiko tusije jikuta tunaingia kwenye dhambi kubwa ya kufsiri na kusambaza uzushi kwenye mambo haya ya kiimani.kama ingekua hivyo kwanin isingeelezewa direct kana ilivyokua qaumu lluutwi?(SODOMA NA GOMORA).
Sent...
Makambako vipi wadau..niliwah kusafiri na bus mwanza to mbeya tukafanikiwa kulala makambako tulifika saa sita usiku pale.hakika nilijuta[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ina maana zamani viongozi walipokua katika misafara yao gari la kiongozi husika ndo lilikua linatangulia mbele?
kama ni hvyo bas ilkua kawaida gari ya mheshmiwa kugongwa na land cruiser ikiyokua inaendeshwa na mkimbizi wa south afrika.
Maa sha allah historia adhwiim hii..kuna haja ya kurejea vzuri mitaala zetu kuhusiana na historia ya nchi yetu katika harakati za kudai uhuru wa tanganyika...nahis kuna mambo mengi nje ya box..ahsante mzee wangu mohammed said.