JICHO LA TOFAUTI:- Usaliti na Mapenzi kinyume na maumbile chanzo cha anguko la Adam na Eva

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,038
2,000
Kuchepuka ni ile hali ya kwenda nje ya mahusiano yako rasmi.
Kuchepuka sio kitu kigeni na hakijaanza leo. Kutembea na wapenzi wako wa zamani wakati uko ndani ya mahusiano mapya yaliyo rasmi, nako poa ni kuchepuka.
Historia ya ulimwengu inaonyesha kuwa baada ya Mungu kuumba ulimwengu na kila kitu ndipo akaumba mtu mume aliyeitwa Adam.
Adam alipewa jukumu la kuwapa majina wanyama wote na mimea na kila kitu.
Adam alikuwa na wanyama, ndio walikuwa wapenzi wake wa dhati lakini hawakuweza kumtosheleza kimapenzi na kihisia.
Mungu akaona Adam hana mnyama wa kumridhia Adam kimapenzi (hata simba alishindwa) ndipo Mungu akamtengenezea Adam mke kutoka ubavuni mwake, akamwita Eva.
Mungu alipomuumba Eva akawaagiza Adam na mkewe wakazae, waongezeke waijaze nchi. Kuzaa waliruhusiwa hata kabla nyoka hajaingilia mahusiano yao.
Maisha ya Adam na Eva yalitawaliwa na furaha sana, hawakuwa na pilika wala mahangaiko, kila kitu kwao kilipatikana kirahisi sana na walikula chochote walichotaka.
Baada ya Adam kumzoea sana mkewe Eva, akawakumbuka wanyama wake wapenzi wa zamani na kuwa bize nao huku akimuacha mkewe Eva akiwa mpweke sana.
Hamna mwanamke anayependa upweke, nyoka akaona hali ya unyonge na huzuni aliyokuwa nayo Eva.
Nyoka akamtamani.
Kwakuwa nyoka ni shetani na hapendi vitu vya Mungu basi yeye huenda kinyume na kila kitu cha Mungu.
Mungu hupenda nuru, shetani hupenda giza.
Shetani akamrubuni Eva kuwa ale tunda ndipo akili zitaongezeka na kuwa sawa na Mungu.
Mungu aliumba uke kwa ajili ya burudani, baba wa uongo akamdanganya Eva kuwa ukifanya kwa tundu la nyuma ndipo utapata uwezo na raha na kila kitu.
Kumbuka:- Eva hakuwa bikira kwakuwa tayari alikuwa akiburudika na ndoa yake na Adam ili wazae, waongezeke na kuijaza dunia.
Nyoka akamfumua marinda Eva, Eva akaona burudani ya kipekee ya ki Amba Ruty.
Mumewe aliporudi, Eva akamwambia hebu Adam ingia huku kwa Amba Ruty, Adam alipoingia alichokipata ndicho kilichosababisha anguko la Adam na Eva pale Eden.
Ndugu;
Hakikisha hupagawishwi na michepuko na kukumalizia muda wako wote wa kumliwaza mkeo.
Pili msijaribu kucheza michezo ya Amba Ruty na mkeo, ndoa lazima itasambaratika.
 

godimpare

JF-Expert Member
Feb 10, 2014
2,673
2,000
nimekuelewa hapo shetani anapenda giza mungu anapenda nuru ayo mengine labda watakuelewa wengineo
hata shuleni kuna tunaokariri point tu maelezo tunatoa kichwani
ila ilo la amba ruty isa too late kitu ambacho binadamu hawezi kufanya ni amabacho hakijulikani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
51,038
2,000
maandiko hayakusema kuhusu tundu la nyuma.nafikiri ni vyema tuliridhike tu na maandiko tusije jikuta tunaingia kwenye dhambi kubwa ya kufsiri na kusambaza uzushi kwenye mambo haya ya kiimani.kama ingekua hivyo kwanin isingeelezewa direct kana ilivyokua qaumu lluutwi?(SODOMA NA GOMORA).

Sent using Jamii Forums mobile app
Umesha ambiwa ni jicho la tofauti, kwa hiyo linaona kile ambacho kimefichwa.
Pia inakupa wewe hamasa ya kwenda kutafiti zaidi na kuujua ukweli.
Usiwe mvivu kwa kumezeshwa kila kitu kwa kukaririshwa.
Amka na utafute ukweli, hukupewa ufahamu na maarifa ili ujazwe ujinga bila kujiridhisha
 

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
6,601
2,000
Wanazuoni, maulamaa na wanatheolojia kweli hampo humu ndani ili tupate facts za jambo hili?
 

Heci

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
1,815
2,000
Haya ni mahubiri, maafundisho, nadharia, theory au ni findings?
Naomba kuelimishwa zaidi.
Je ni nini hiki?
 

Mgugu

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
2,154
2,000
Bujibuji achaga uongo basi
Mbona unatubadilshia maana na dhana nzima ya tunda la mti wa katikati.

Maendeleo hayana chama
 

Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
2,311
2,000
Hilo la amber rutty nakupinga mkuu. Kama umetoa kwenye biblia kile unachokiamini basi ukweli ni huu

Mwanzo:3.3
lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.
Mwanzo:3.22
Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
Mwanzo:3.23
kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
Mwanzo:3.24
Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom