Recent content by akyo

  1. akyo

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Naomba mwenye wimbo wa Q chillah-nimeridhika naye anisaidie.Nimeutafuta wimbo huu bila mafanikio.
  2. akyo

    JamiiForums Tanzania Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Nani kakwambia kuwa China haina dini? au wewe unafikiri dini ni ukristo na uislamu tu.
  3. akyo

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Changamoto kubwa ya kilimo cha muhogo huku kwetu ni fuko.Kama kuna mtu anajua njia rahisi ya kupambana na fuko msaada tafadhari.
  4. akyo

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Vp mashine za kukamulia nyonyo,na mbegu kama karanga, alizeti zinapatika? Bei vp?
  5. akyo

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

    Kimo cha mwisho kabisa kuchimba ni Futi ngapi?
  6. akyo

    JamiiForums Tanzania Tujifunze na Kuanza Utamaduni Huu Mpya wa Ufugaji Samaki

    Aisee hivi,utengenezaji wa bwawa la kawaida unaweza kugharimu tsh ngapi? Na vipi kuhusu yale mabwawa yanayowekwa ksratasi yanadumu kwa mda gani?
  7. akyo

    JamiiForums Tanzania I want to die a judge

    Hongera sana mkuu,hakika nimeifurahia hii burudani
  8. akyo

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kusisimua wa Rojaz katika kipindi cha Sitasahau cha Radio Free Africa

    Naomba unitumie audio mkuu
  9. akyo

    JamiiForums Tanzania Innocent Killer (The Revenge)

    Gereza la Hazwa imeondolewa leo JF au vp? Maana nilikuwa pg ya 250.Leo hata ukisearch haipatikani
  10. akyo

    JamiiForums Tanzania Mechi iliyopita walimtaja Kocha (Zoran), leo wanamtaja Okrah

    Kwani Ni uongo kuwa Okra alikuwa mchoyo?
  11. akyo

    JamiiForums Tanzania Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

    Mkuu hukutunia mbolea,maana hujaorodhesha mbolea.
  12. akyo

    JamiiForums Tanzania Viongozi kumi bora kuwahi kutokea hapa Afrika mpaka sasa

    Kwa mchango ktk bara la Afrika hakuna anamfikia Nyerere.Kwa kuzingitia utu Mandela anaweza kuwa 1,ila kwa ukombozi wa Afrika hakuna Kama NYERERE. Nyerere amesaidi Angola,Msumbiji,Zimbabwe kupata Uhuru.Pia amesaidia hata harakati za kupinga ubaguzi Afrika kusini.
  13. akyo

    JamiiForums Tanzania Viongozi kumi bora kuwahi kutokea hapa Afrika mpaka sasa

    Kumi bora kwangu. 1.Julius Nyerere 2.Haile serasi 3.Nelson Mandela 4.Kwame Nkurumah 5.Patrice Lumumba 6.Robert Mugabe 7.Samora Machel 8.Muamar Gaddafi 9.Koffi Anani 10.Hakainde Hichilima.
  14. akyo

    JamiiForums Tanzania Ni mbegu gani za mahindi zinafanya vizuri katika mkoa wako?

    Hili tatizo la kuoza unalitatuaje?
Back
Top Bottom