Hii sasa nimaajabu ya mwaka eti baada ya miaka 8 ndio anajitokeza,hivi niulize tu ccm hawana mtu wakuwashauri na kuwapea mbinu nzuri?huwezi leta ujinga kama huo na ukatarajia watu wakusikilize,
Nashangaa na ccm huwa hawafikirii wakifanya maamuzi,ndio maana inachukiwa tu,sasa kuna mtu ameweka picha ya JUMA MWAPACHU Fb ikiwa ime editiwa akiwa uchi na malaya alafu kichwa ni yake ika mwili wa chini sio wake,kwanini aliyeweka hiyo picha asishikwe?
Unapo jifanya huoni huku unaona nikama kuwa kuchaa,hivi unataka kujifanya hukuona dodoma ukumbi mzima ukiimba tunaimani na lowasa?swali lakujiuliza hao watu walio fanya hilo tendo wako ccm bado ama walitoka wote?unafikiri wamemsaliti lowasa?wako tu ccm kimaslai ila kura nikwa lowasa maana kura...
Mkwere hebu fanya hili kuwa mada maana nikawa watu hawaelewi tofauti kati ya lowasa na magufuli, huyu jamaa nimuongo sana mbona ameanza kutudanganya mapema?
Kweli kile hakiwezekani duniani ni kujiongezea siku za kuishi ila mengine yanawezekana,kama huyu ni kada maarufu wa ccm anajitoa ccm nimekubali ccm imekufa tena kifo cha aibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.