Msafara wa Dr. Magufuli wazuiliwa Igoma-Mwanza

Msafara wa Dr. Magufuli wazuiliwa Igoma-Mwanza

Mkamba Mmasai

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2015
Posts
384
Reaction score
65
[h=3]
12074827_901613103253919_3963528109507727786_n.jpg
[/h]
12079289_901613159920580_7797942347585998338_n.jpg


Mh. Magufuli bado yupo Mwanza, na leo hii anaendelea kuzoa kura za wakazi wa Mwanza. Hapa ni Igoma akiwa amezuiliwa na wakazi wa hapo ambao walitaka kumsikia Rais wao wa Tano.

Mh. Magufuli tokea jana amekuwa akiizika UKAWA na kufungisha ofisi zao za Mwanza baada ya kufanya Mkutano wa Kihistoria ambao haujawai tokea barani Afrika.

Na Mr. Chin
 
Fiesta hiyo nani ampigie kura magufuri mtu mwenye jazba na kujiona yupo juu kuliko hata watu wanao mzidi cheo.
 
Fiesta hiyo nani ampigie kura magufuri mtu mwenye jazba na kujiona yupo juu kuliko hata watu wanao mzidi cheo.

Jidanganye,watu hua hamtulizi kichwa kufikili vitu,mwisho wa siku mtasema tu tena ile Chadema ya Dr Slaa iko wapi itusaidie tumeanguka
 
HAJABU - mbona huo umati uliomzunguka Magufuri hapo umetulia kama maji ya mtungi????? Au hakuna wasanii!!! Hii ni tofauti sana na umati unaomzunguka LOWASSA. My take ni kuwa washabiki wa Lowassa wapo excited na candidate wao kuliko CCM
 
Maana naona Magufuli ndiye anakazana sana kuwasalimia wao wamepoa tu wanashangaa
 
Kwahiyo hujui kwamba watakao mpigia kura nyingi Lowasa wako ndani ya ccm?nguvu ya Lowasa nikubwa sana ccm hadi leo
 
Back
Top Bottom