Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

Naomba nijibiwe swali hili na yeyote....ivi hawa Cccm Ni LAZIMA kuwaganganiza watu kuwatawala hata kama wamechokwa??au kwa jili ya maslai??maana mpaka nawaonea hurumaa yaraabi..Mara Mzee mwinyi Mara maria Nyerere Mara wanachukua speech za lowassa akiwa Cccm na kuziedit star TV aonekane hafai...jamani wananchi wenzanguu...Ni ushahidi ganii ambao tunamtaka kuthibitisha kwamba hawa wenzetu are no longer exist?...wamepotezana..wamekata punzi sasa wanatapatapa kama kuku aliyekatwa shingo yaake ghafra....bye CCCM!!!
 
Nyie kwani hamna Wazee mbona mnalialia?
 
Katika kipindi ambacho CHADEMA na UKAWA wanatakiwa kurelax sana katika chaguzi zote kubwa na ndogo ni kipindi hiki, ambacho Yule mwizi maarufu wa kura aliyejulikana kwa jina la Matson Chizi (64) msukuma wa Shinyanga ameamua kujiunga na CHADEMA kwa kazi maalum ya kuiba kura za CCM na kuwaguarantee ushindi CHADEMA na UKAWA.

Kwa mara ya kwanza kulisikia jina hili, ilikuwa 2012 Arumeru kisha kwa mara ya pili nikalisikia nilipojiunga CCM na kwa mara nyingine jina hilo lilitamkwa na Dr Wilbrord Slaa katika press yake na waandishi wa habari katika ukumbi wa Serena mnamo tarehe 01/09/2015 akieleza juu ya kujiondoa kwake CHADEMA na kustaafu siasa baada ya uhuni wa kuletwa LOWASSA na timu yake ya wezi ya akina MATSON CHIZI.

Lakini nasikia bado kuna mashaka kwa CHADEMA, nasikia mwanasheria wao “zuzu” ninayemjua John Mallya, amesema wanachama wanapaswa kulinda kura kwa sababu CCM wamepanga kuiba. AJABU ya mwaka, mwizi amehama CCM na alikohamia ni CHADEMA na bado CHADEMA wana mashaka ya kuibiwa kura…kwanini mashaka hayo wasiwenayo CCM ambae wamepoteza MWIZI wao..?

Kimsingi MBOWE na timu yako mmeshalikoroga.,subirini kulinywa tu, hakuna namna..!!

IMG_1080.JPG

Matson Chizi (kushoto) Juma Haji Duni (katikati) na Edward Ngoyai Lowassa.

we maku kweli.... kwani mwizi wa kura alikua pekeyake?
CCM wote wezi....
Kamkatie kiu..no Mwigulu wako siasa zshakushinda
 
Bora Ujinga usio na Madhara kuliko Elimu isiyo na Faida,Masters Degree yako ni bure kabisa,akili yako sawa na mtoto wa kindergarten,yaani umeconfirm kabisa ccm ilikuwa ikishinda chaguzi huko nyuma kwa sababu ya chizii,elimu ya mjinga ni majungu Bora ukose Mali kuliko akili.
 
utafikiri ndio mwisho ws tanzania jamani kunayatendelea itikadi zetu zisitugombanishe hii ndio demokrasia
 
Mwaka huu amuwezi kupata ata viti 50 vya ubunge ccm hapo ndipo huakika Wa viti maaluma unaukosa ubaki kumsifia mwigulu tu huku kwenye mitandao
 
huyu mtoto hakosagi cha kuongea?kukosa kazi ni shida kweli kweli,ila utajuta uhaini wenu na mwampamba si bado siku 3 tujue nani ni nani?alafu umeweka records vizuri sana kumbe ccm ni wezi wa kura,maana hiyi cv ya huyo jamaa umeisema mwenyewe,na ndo maana tunasisitiza kura ni lazima tuzichunge at any cost,either mtake msitake hatutafanya kosa hilo
r.i.p ccm
uyu mama ni jinga kweli kweli naombea jamaa wa cdm wamfikishe mahakamani kwa makosa ya kimtandao ili atuthibitishie huu ujinga/upumbavu wake alopost
 
Naomba nijibiwe swali hili na yeyote....ivi hawa Cccm Ni LAZIMA kuwaganganiza watu kuwatawala hata kama wamechokwa??au kwa jili ya maslai??maana mpaka nawaonea hurumaa yaraabi..Mara Mzee mwinyi Mara maria Nyerere Mara wanachukua speech za lowassa akiwa Cccm na kuziedit star TV aonekane hafai...jamani wananchi wenzanguu...Ni ushahidi ganii ambao tunamtaka kuthibitisha kwamba hawa wenzetu are no longer exist?...wamepotezana..wamekata punzi sasa wanatapatapa kama kuku aliyekatwa shingo yaake ghafra....bye CCCM!!!

Mambo yamekwisha, mzee wenu abaki huko achunge mifugo yake, watz wamemaliza kuchagua.
 
Nadhani TCRA wanatakiwa wakufikishe mahakamani uthibitishe tuhuma zako juu ya huyu mwizi. Kama wako fair na wanaoperate on fair grounds, they should take action.
 
Back
Top Bottom