Pia hii ni favor kwa aliyeongoza kundi. Anakuja kwako analazimisha sare au unamfunga ushindi mwembamba ukienda kwake (second leg) anakupiga. Karata zichangwe nyumbani
Aiseee hatari sana, sasa huyo usalama wa Taifa alionyesha kitambulisho ili iweje? Si angetumia njia yoyote ampokonye hiyo bunduki? Hizi silaha kabla ya kuuzwa huwa wanatumia vigezo gani? Au nikisha uza mihogo yangu huku mkuranga naruhusiwa kununua bastola? Chamaa kajikuta kama Chuck Norris vile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.