Recent content by Akili Unazo!

  1. Akili Unazo!

    Kisa Ugomvi wa Kimapenzi, Mama amchoma mwanaye Visu zaidi ya 100, amla Utumbo na Figo

    Mhh wanawake siku hizi sijui wamekuwaje ila ngoja waje wengine watasema
  2. Akili Unazo!

    DOKEZO Mwaka 2022 katika tawi la Kahama Benki ya NMB PLC ilipata hasara ya Tsh. 24 Bilioni kutokana na taratibu mbovu zilizowekwa na Uongozi

    upuuzi mtupu unashanga kijana nashinda kwa email we anaaply wewe ila kamwe haitwi kwenye usaili hakuna .. Kuna shida mahala
  3. Akili Unazo!

    DOKEZO Mwaka 2022 katika tawi la Kahama Benki ya NMB PLC ilipata hasara ya Tsh. 24 Bilioni kutokana na taratibu mbovu zilizowekwa na Uongozi

    Ndiyo Maana kuajiriwa muda mwingine nakuchukia au kutoyapenda kwa mambo ya kipuuzi kama haya sijui hawa HR wa mwendo kasi wa Siku hizi wametoka wapi bila Rushwa Mtu hapati Ajira ..Something is wrong somewhere acha nimfundishe Mwanangu kutotegemea ajira ya namna yoyote huu ni utumwa
  4. Akili Unazo!

    Umejifunza nini kutoka kwa hakimi baada ya kutua mahakamani na kuonekana mali zake zote alimuandikisha mama ake miaka kadhaa

    nimejifunza wanawake kwenye ndoa hawana wanachotafuta zaidi ya kugawana mali tu... sasa huyu dada anasemekana ni tajiri mkubwa kwa nini atakae kugawana mali ?
  5. Akili Unazo!

    Natakiwa kumfukuza kazi muajiriwa aliekuwa kwenye kampuni kwa miaka 17, Nifanyeje?

    nicheki pm faster lakini uwe tayari kucompansate kwa input nitakazokupa
  6. Akili Unazo!

    Ogopa sana watu, lakini karma is real

    UMEOLEWA DADA YANGU SAMAHANI KWA SWALI HILI
  7. Akili Unazo!

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    HUYO NDIYO M HUYO NDIYO MWANAMKE NINAYEMJUA AKISHAONJA NJE UJUE HAJAANZA KWA BAHATI MBAYA NA UKITAKA KUMZUIA YUPO TAYARI KUFANYA LOLOTE HATA KUKUTOA UHAI ILI TU UMUACHE AU HATA KUKWAMBIA HAWA WATOTO SIYO WAKO ILI TU UGADHABIKE TU UMPE NAFASI. POLE MWAMBA THAT IS LIFE
  8. Akili Unazo!

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Emoj ni kwambie kitu hakuna dawa ya hicho unachohitaji ushauri ila kama kweli unajutia hiyo hali fanya yafuatayo. Nakumbuka mumeo alikuruhusu kwa moyo wote kwenda kufanya kazi mkoani ndiyo ukakutana na boss wako huu ambaye amekuchanganya ili kutibu hili fanya maamuzi magumu ya kuacha hiyo kazi...
  9. Akili Unazo!

    Penzi langu na Kijana limeniharibia Feelings na mume wangu

    Pole sana I can test your feeling todate
  10. Akili Unazo!

    Wanaume wabaya sana

    alikuwa na genye na amerudi nazo hahahahaha
  11. Akili Unazo!

    Wanaume wabaya sana

    kwa hiyo hizo boxer ulizokuwa umeniletea na ile perfum unampelekea nani siungeuliza huyu ni nani kuliko kuondoka na kuja kunihukumu huku bila kunipa nafasi ya kujitetea mai.....yule ni mdogo wangu yaani mtoto wa shangazi binamu yangu wala sikuwa na nia mbaya na alifanya vile kujua utareact vipi
  12. Akili Unazo!

    Wanaume wabaya sana

    fungua milango tuje acha kuwaza kanga na tshirt as long utamu hajaugusa sahau
  13. Akili Unazo!

    Wanaume wabaya sana

    kwa hiyo ulimvua hizo nguo au ulifanyaje..vipi jimbo liko wazi au lina mgogoro kama la mke wa mitishamba.. ila unaonekana msafii hivyo vidole vya mguu vimeniwazisha mengi sema mshikaji kazingua. tupe nafasi sie waaminifu
  14. Akili Unazo!

    Huyu naye anataka kuzaa na mimi ndio anioe

    ushauri wa kindezi kweli....hiyo biashara isipoamka
Back
Top Bottom