Wadau habari?
Naomba kujua namna nzuri ya kuandaa UYOGA maan ni kitu ninachotamani sana kujua maandalizi yake ya upishi hasa uyoga ambao umechumwa kutoka shambani sio wa kukaushwa.
Mwenye kuweza kutoa darasa nasubiri kutoka kwenu wakufunzi. Hata maandalizi ya supu yake tu itasaidia kujua.
Kwa Niaba yupo Mwalimu anataka kubadilishana yeye Yupo Muleba Kagera ili Aje POPOTE PALE NDANI YA TANZANIA ISIPOKUWA Ukanda wa ZIWA VICTORIA Jamaa hataki kukaa karibu na Ukweni.
Idara sekondari
Mkono Mmoja hujui unachokiongea, laiti ungejua Hawa wapo Asilimia Ngapi ya Watumishi wa Umma wote katika serkali halafu wanalipa sh. ngapi kwa serkali kila mwezi usingesema hivi.
Jamaa wapo wengi na wanalipa kwa mwezi serkal zaid ya Bilion kadhaa ukiwekewa hesabu hapa utajikuta kila mwalimu...
Picha ingependeza kuleta uhalisia wa kinachoongelewa. Nashauri piga icha Taa zilizowekwa na zilizotarajiwa kuwekwa katika mradi husika. Najua uchungu wako lakin njia rahis ya kulisukuma hili ili waliojfanya wakubwaaa wapoteane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.