Kwenye kijiwe kimoja kuliibuka mjadala kuhusu uaminifu wa mkopwaji,kuna mzee mmoja alisema kwa kusisitiza kuwa "vijana wangu mkopeshe mtu yeyote lakini si kiongozi wako yeyote wa kiroho (mchungaji wako n.k, kiongozi wako yeyote wa kisiasa (mwenyekiti,katibu n.k),Hakimu mliyezoeana,Askari...