Recent content by akaminko

  1. A

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Tanzania tumepewa amani tu ila michezo tumenyimwa kwa kweli. Tupambane tu na mambo ya udaku mpira sio kazi yetu
  2. A

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ukishindwa kabisa fanya kuni PM ntakuelekeza
  3. A

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    kama wameenda kujifunza basi wasilaumiwe
  4. A

    Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    kuna dude moja lnaitwa DELTA FORCE kacheza chuk norris mule kuna zile pikipiki zinatoa risasi na mabomu basi kuona mwamba anavozichapa bakora mule dah nikatamani hadi kuwa mjeda nikijua ntazpga sana fimbo dah kumbe hata hazipo.
  5. A

    FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Me kuna kitu nimekiona sijui itakuwa sawa na ninyi wakuu?. Sisi wat weusi hatuthamin watu wetu tunathamin sana watu weupe au mtu aitwae tu mzungu au mwenye asili ya uzungu basi mtu mweusi yupo tayar kutomthamin mweusi mwenzie kwa sababu tu ya watu wa nje. Tz tuna wachezaj wetu wengi wenye uwezo...
  6. A

    DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    aa sisi tupo geti jekundu hapa mori baada ya kutoka chama
  7. A

    DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    naam mkuu na mimi ni mkazi wa kipunguni na huyo mama apo ulieweka picha ya kuhojiwa namjua kabisa mpaka jina lake na ni jirani yangu.
  8. A

    Anataka tuachane na tayari nimekwishalipa mahari kwao na mipango ya ndoa ipo

    "HATUKUPENDAA KUWA SINGO, (Chuii) HATUKUPENDA KULEWA KILA SIKU, HATUKUPENDA TUITWE MALAYA, HATUKUPENDA ILA ILITOKEA TULIPIGWA NA KITU KIZITO, KITU KIZITO. HATA KAMA ULIMPENDAAA ILA WEW NI MJINGA,, MANA UMETOA MAHALI NA BADO KAKUPA CHA MBAVU MNINGAA, MAPENZ MIAKA MITANO UKASHNDWA MPA...
  9. A

    Nimepata mgeni yuko rafu sana

    He kumbe dawa ya meno ina utaratibu wake wa kuminywa dah ckujua hili. Kwaiy ukiminya kwa utaratibu haiishi?. Anyway mvumilie mgeni mana tatizo ni malezi, na kama ukishndwa mpe nauli arudi kwao simiyu.
  10. A

    Jana nimepigwa ngumi na mke wangu na amesema anajuta kuolewa na mimi

    Cha kufanya hapo ni kitu kimoja tu braza. Mie nina connection na dulla mbabe, ibrahim class na mwakinyo, njoo pm bs tuongee mkeo anaweza akaw anatengeneza hela nying sana kaka
  11. A

    Ukiona una vigezo hivi basi haujakamilika kiume

    9. Mwanaume lazima uwe na madeni. Ili tuupime uwanaume wako basi lazima tujue unatokaje hapa. Kuwa na madeni na kupambana kuyalipa ndo maana halisi ya uwanaume. Huku kodi huku rejesho, mara mkeo kakopa vikoba kashndw kulipa af aliweka bond tv, redio, masofa, kitanda mpaka vijiko. Na haitakiw uwe...
  12. A

    Kwa sasa D Voice anafanya vizuri kimuziki sokoni kuliko Harmonize. Anaburuza kwenye mauzo ya album

    kaka sinza pazuri ni wiki sasa kila napokuja messenger kwako nikikutumia ujumbe haufiki hata sielwi
Back
Top Bottom