Recent content by AJMSEMAKWELI

  1. A

    JamiiForums Tanzania Tamko la Rais Kikwete juu ya Tukio la Arusha

    Dr slaa anauhusiano gani na hili,kuna watu hawana hata aibu ya kutoa mawazo ovyo.Watu wanafikiri mambo ya maana wewe unamwaza Dr slaa tu kwan uliahidiwa nini na ccm?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hivi watanzania wanajua kwamaba katiba ni zaidi chama gani kiongoze nchi?

    Kuna haja ya kuwaelimisha watanzania kuhusu katiba maana weingine wanafikiri ni kupata chama cha kuongoza nchi tu! hii ni hatari sana; mfano ccm kupindisha taratibu za kupata katiba kwa mslahi ya chama wanasahau mengi ya msingi sana yanayoguswa na katiba.Mungu atunusuru maana tutafika mahali...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara asubuhi hii Arusha

    Natamani wafanye hivyo kwa ajili ya Lema kuonewa, twendeni mitaani mpaka kieleweke!
  4. A

    JamiiForums Tanzania LEMA anatafuta umaarufu wa kisiasa kwa faida ya nani?!

    Wewe nikipandikizi na mtaka posho, unaishi Lumumba ?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka kwa utawala wa Rais Kikwete kuwekewa vikwazo na na jumuiya ya kimataifa

    Wale wale mnajibadilisha, we unataka wakiwekewa vikwazo tupate nini? wewe pendekeza bc chakufanya.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Update: Lema kufikishwa Mahakamani Jumatatu

    Wewe ni mbumbumbu kweli unapata posho Lumumba ndiyo maana huoni shida.Wananchi kujikomboa sio jambo rahisi ,tuungane pamoja tuonesha sisi ndio wenye nchi hii kama wenzetu Misri,Libya n.k; Diplomasia katika nchi hii haiwezi kufanya kazi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nassari amwambia Maghembe: Eti nawe ni Profesa!

    Hatukani ila tunakosoa kazi haiifanani na uprofessor!
  8. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Mtetezi wa watanzania hawezi kutokea akasimama peke yake kwa mazingira magumu yanayowekwa na serikali;akina Lema na wengine wanataka nguvu ya watu kutetewa;tuungane tufanye kama Liwale!!!!!!
  9. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwa nini watu wanategemea au kulalamikia Serikali ?

    Kwa sababu serikali iliwekwa na watu kwa ajili ya watu, vinginevyo haihitajiki kuwa nayo!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Arusha kwa hili tafuta njia ya kukimbia mji

    Wananchi wamechoka hii ni nchi huru na watu huru. ccm imenyonya jamii sana,sasa wameona mkombozi wetu chadema wanawanyanyasa kwa kutumia polisi,usalama wa ccm(zamani usalama wataifa) na hata mahakama.Kinachonishangaza kwanini wanataaluma wanaofanya kazi ktk vyombo hivi wasiwe waaminifu? serikali...
  11. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na TBC kunani?

    TBC ina ongozwa na watu wasio na uledi !
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mama yake Zitto avamiwa

    Hayo ni matukio ya kawaida kama alivyosema mwanae, haina uhusiano na cdm.Kama huna comments siyo ujinga ukinyamaza kuliko kusingizia.Hata mpumbavu akinyamaza ataonekana ana hekima !
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

    Mwigulu mwenyewe unajisifu umebadili ID ,kwa sababu najua hakuna anayeweza kukusifu wewe! kwanza kwa kipi ? Mwigulu lazima uelewe kuwa huwezi kulazimisha kuongoza watu bali wakukubali tu utendaji bora. Soma nyakati ubadilike maana wewe unasemwa kwa kulaumiwa sio sifa njema hata kidogo, pia Nape...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    Huyo anajipendekeza aonekane na wale wale waliofanikiwa kwa staili hizohizo,angeona aibu kwa sababu analabel inayo aminiwa na watu wengi.Vyombo vya habari viwe makini visiwaite watu wa namna hiyo.
Back
Top Bottom