Natoka singda nakuja dar,kuna sehemu hapa singda limewekwa tuta kubwa kupta yote ktk barabara ya dar,morogoro,dom then singda!ni baada ya kugongwa watoto wawili mmoja wa chekechea na mwngne darasa la nne kwa mujibu wa wakaz wa huku singda!Rai yangu kwa wakaz wa arusha kufunga barabara co suluhisho ni kuwatesa tu raia na abiria watumiao hyo barabara!WEKEN TUTA KUBWA KUPTA MAELEZO THEN TANROADS WATAKUJA KUREKEBISHA NA KUWEKA YA KWAO