Recent content by Ajira Tanzania

  1. A

    JamiiForums Tanzania Namtafuta baba yangu mzazi mzee Jovin Machumu

    pole sana mkuu
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    mm sio mtaalam wa siasa ila umefanya mengi toka uingie madarakan. hongerea sana JPM
  3. A

    JamiiForums Tanzania Namrudisha vipi mpenzi wangu?

    mkuu umeongea point
  4. A

    JamiiForums Tanzania Namrudisha vipi mpenzi wangu?

    Wakuuu huyu mtoto namkubali sana. Najaribu kumrudisha tuishi kama zamani. Miezi nane sasa imetimia hakuna hata dalili kama atarudi. Nimebembeleza mpaka nimechoka. Nifanye nini jamani?
  5. A

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    mida ya wanga
  6. A

    JamiiForums Tanzania je ni kweli?

    kuna gari za gongo la mboto - mbagala......unShuka mbagala alafu unapanda ya kisemvule
  7. A

    JamiiForums Tanzania je ni kweli?

    mkuu kuwa serious
  8. A

    JamiiForums Tanzania je ni kweli?

    wabongo wameshindikana
  9. A

    JamiiForums Tanzania je ni kweli?

    wakat niko kweny daladala la gongo la mboto naelekea kumtembelea jamaa yangu pande za kisemvule kuna jamaa akawa anamuomba ushauri mwenzake.. huyo jamaa kasomea procurement sasa anamwambia mwenzake anataka kubadili fani asomee post graduate ya marketing ili aweze kubadili fani awe mtu wa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

    sawa kiongoz
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

    ndo hivyo mkuu
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupenda ni kazi ngumu kiasi hiki!

    yuko mkoani, alafu kapanga chumba mtaa ambao siujui... tatizo ndo ilo
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupenda ni kazi ngumu kiasi hiki!

    ajira laki moja silikali mbona isha mwaga
  14. A

    JamiiForums Tanzania Kumbe kupenda ni kazi ngumu kiasi hiki!

    Baada ya kuachana na mwanamke ninayempenda sana nikapata mwingine within a week. Tatizo nalokumbana nalo yani najikuta kama najilazimisha kumpenda huyu binti, most of the time automatically najikuta namuwaza x wangu. Am forcing myself to luv my new girlfriend but its feels like mission...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nitafunguaje kampuni nikiwa sina mtaji?

    not yet mkuu
Back
Top Bottom