Tatizo ni Mamlaka wangeruhusu angalau gari litembee mwisho speed 120 halafu utengenezwe mfumo wa ku punch kadi kila baada ya vituo lakini hivi sasa wanakagua asubuhi tuu shughuli mchana hivyo ajali hazichangiwi na madereva zinachangiwa na MUDA
Nafikiri mtu ukiwa na mamlaka unaamua tuu kusema bila kufanya upembuzi Kampuni ina wanyakazi zaidi ya mia mara familia zao sasa ukiifungia wale ambao hawajafanya kosa mngewasaidia kujikimu katika maisha mfano madereva, konda, wapiga debe, ofisi za kukuta tickets na familia zao wataishi vipi...
Anapamba kwa nguvu kwa vitu ambavyo vingeweza kuishia ngazi za Serikali za Mitaa kama kuna watu hao eneo hilo nirahisi kutambulika na ku deal nao ISSUE kubwa Mkuu wa Mkoa ni Dawa za KULEVYA angejitahi kupambana nayo kwa nguvu zote hayo mengine yanatokana sana na matumizi ua dawa hizo
Masuala ya udini siyo mazuri yatatugawa kwenye umoja wetu hao viongozi hawatusaiidi sana sisi watu wa chini hata wangechaguliwa wote dini fulani bado hawata leta maendeleo kwetu na pia hawajui tunaishi vipi tuendelee kushikamana na kupendana sisi kwa sisi wa hali ya chini tunawashabikia wapate...
Sasa hivi kwa vile ni bure ngoja wakishaanza kulipia hayo yote yatapotea pia tunapenda kululamika sana mara hakuna vyoo mbona mwanzo tulikua tunasimama hakuna kivuli jua letu mvua yetu TUNATAKIWA TUSHUKURU KWA KIDOGO wakati safari inaendelea
Naona bado ni mradi tata kwasababu wanaotaka mfano mbezi au kibaha wakifika Kimara magari yao wanapaki wapi? pia wanaokuja na daladala watatumia stendi gani kimara? au wanaotoka mjini wakifika kimara wanandia wapi magari ya kwenda mbezi au mlandizi? Ni hayo tuu
Hawata weza kuwaita tume ya Warioba kwa sababu mtu yeyote mwoga huwa anajifanya ana mkwara, matusi na majigambo mengi ila tunawaomba hao Walioandaa rasimu wawe na utulivu huohuo, ila watakuja kuipitia hivyo vifungu vingine na wakivikuta vivyo vizuri sijui watawangalia vipi walioiandaa, pia...
Mungu ailaze roho yake pema peponi lakini na sisi tuliobaki tujue huu sio mji udumuo kwa mola tutarejea hivyo inatupasa tutende yale yote mema Mungu aliyoagiza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.