boyskillz
Senior Member
- Apr 29, 2013
- 109
- 104
Kwanza pole na majukumu yako ya kila siku ya kuhakikisha kila siku mkoa wa Dar na Tanzania kwa ujumla tunapiga hatua.
Ninae kuandikia barua hii ni mimi ninaependa kuitwa 'sauti yao' wasioweza kusema nikikuandikia wewe 'mpambanaji wao' wasioweza kupambana.
Awali ya yote...
Nakupongeza toka moyoni kabisa RC wangu Makonda kwa kile ulichoandika mitandaoni kuonesha ni jinsi gani unakerwa na hawa washenzi wanaoitwa 'mashoga'.
Inawezekana umeandika kwa hasira ya hali ya juu machapisho yale,ila mimi nina hasira kubwa zaidi hapo kuliko hata wewe nafikiri, nimefurahi sana kuona umeonesha msimamo wa Serikali kuhusu hili jambo la hawa washenzi.
Narudia tena pongezi sana Mkuu wa mkoa,sasa naomba nione utekelezaji wa hicho ulichokiandika kisiishie tu kwenye mitandao ya kijamii bali kifike kwa vitendo mpaka kitika mamlaka husika.
Natamani kipindi wanapopewa adhabu hawa mashoga wataokamatwa kama hutojali uniite namimi niwape adhabu, wanatuharibia hadhi ya Taifa na Asili yetu watanzania,wanataka kutuweka katika lile kundi la watu wa magharibi polepole.
Nalaani vikali kituo cha Televisheni cha Clouds TV kuwapa 'airtime' baadhi ya watu hao na kuwaacha wajinadi na kuomba ushenzi wao uonekane ni jambo jema, nafikiri Mheshimiwa Nape afungie kituo hiki kama alivyofungia gazeti la Mawio kwa kile kilichoitwa uchochezi na kuwatia hatiani wahusika,
Kituo hiki kimeiaibisha jamii ya kitanzania na hata Rais pia ambae amekuwa mtazamaji mzuri wa kituo hicho mpaka kufikia hatua ya kupiga simu zaidi ya mara moja na kutoa michango yake kulingana na mada (programu) ya siku hio.
Mwisho
Nakuomba RC Makonda usifumbie macho hata kidogo ushenzi huu,hio hasira yako uliyoionesha kwa maandishi tunakuomba uioneshe kwa vitendo pia, na pia naomuomba Waziri Nape achukue hatua stahiki kwa vyombo vya habari vinavyotudhalilisha jamii yetu.
RC hili sio la kufumbia macho ikibidi uanze na yule wanamuita Noel ambaye anahisiwa anajihusisha na uchafu huo (bado sijapata ushahidi wa kuniridhisha) ambaye naona picha yako na yeye imeanza kusambazwa mitandaoni kama kipimo cha msimamo wako dhidi ya washenzi hawa(kama ni kweli)
Kwa hili nitakuunga mkono Mkuu wa Mkoa Paul Makonda,namuomba Allah akujaalie utumikie kazi yake ya kukomesha uchafu huo.
Asante.
Ndimi katika ujenzi wa Taifa huru na imara
#Hon Eng Enock Ally