Hicho kilikuwa ni kielelezo chenye kuonesha nani anapita wapi kwa colour code kama nyekundu ni mabasi ya brt blue kivuko cha watu green ni majani kwenye pavement
As long as sauti yake inatoka na kusikika basi anafaa hakuna sheria wala kanuni katika chama inayosema mwenezi lazima awe kijana nadhani unawakumbuka chiligati mkuchika na seif khatib
Kuacha kabisa kuingiza sukari toka nje kutafanya bei ipande sana kilichotakiwa kufanywa ni kupunguza gharama za uzalishaji za ndani hasa kodi za bidhaa zinazohusiana na sukari kuanzia kilimo mpk sugar yenyewe
Kama bei ya sukari ya hapa ikishuka sukari ya nje itakimbia yenyewe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.