Watanzania tunahitaji kubadilika

Watanzania tunahitaji kubadilika

Majibu mabovu hayamkatishi tamaa muelimishaji". Naunga mkono kweli kama tukitumia vizuri mtandao(internet) tunaweza kupata maarifa, elimu na mambo mengi sana. Mtoa post usijari kuna APP inakuja,waweza kuwazimia data watu wote wasio kuwa na matumizi mazuri na mtandao.
Hio APP ni nini mkuu unaweza fafanua zaidi?
 
Kote iko hivi
Ipo hivyo lakini wenzetu wapo kazini hapo.Ulaya mtu mara nyingi unapata nafasi ya kujibu mail,kuagiza vitu kuaply vitu mbali mbali, kufanya malipo kwa hiyo cm. Zamani ilikua lazima ufanye nyumbani kwenye desktop,ikaja laptop then tablet. kwasasa vyote ni mzigo tu.cm inafanya kazi zote.

Tukirudi kwa wabongo utakuta mtu anashinda asb mpk usiku ni kutukanana mtandaoni, kuangalia nani kafanya nini ana skendo gani.kusoma udaku whatsap na kwenye mablog. kwa hali tulipo jamaa kaongea point kabisa.
 
Mkuu Tatizo siyo simu au hii teknolojia. Hata isingekuwepo mambo yangekuwa vilevile tena hata yangezidi kuliko hapa.

Mfano mdogo hata sisi au waafrika ambao wanaish katika hizo nchi mambo ni yaleyale tu
 
Nashauri watu wanaomiliki macompany ya simu wawe wanawalipa wateja kulingana na mtu anavyoingia kwenye mtandao kwan watu wengi now wanatumia mitandao kuriko kupiga simu na kupokea wakati wao wanaingiza pesa nyingi sana uwepo huo utaratibu
 
Hivi vitu vimewahi sana Africa, ulaya ni mahala pake na wanahaki ya kuchat ujinga maana kazi ilishafanyika.. watanzania nao wanajaribu kurelax wakati hakuna kazi waliyofanya mpaka sasa...
 
Hio APP ni nini mkuu unaweza fafanua zaidi?
ghiihh apprication hiyo ni maalumu kwa taasisi fulani husika, ni ngumu kwa mtu wa kawaida kuweza kui contol. mfano selikari inaweza kutumia njia hiyo ya kuzima data kwaajiri ya jambo maalumu.
 
Hivi mshana hakuna uchawi wa kupata internet bure
 
Back
Top Bottom