Habari za jioni,
Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
LUKA 23:42-43 mwizi anamwambia ee Yesu unikumbuke katika ufalme wako na YESU anajibu leo hii tutakuwa wote peponi. Toba kwa Yesu haina formula yeye ndie mwamuzi
Mwenye mamlaka ya mwisho ya kusamehe ni MUNGU na anaweza asiwepo mtu mwingine ila ukatubu kwa MUNGU ukasamehewa, yule mwizi wa msalabani nani alimwongoza sala ya toba? Kama sio Yesu, Paulo nani alimwongoza sala ya toba kama sio Yesu, Musa aliyekuwa muuaji na Mungu kumtokea kwenye kiti...
kila siku wanatuma message kwa leo mara umepata 3000 mara 2700 mara 4000 halafu mwezi unaisha unanipa 7000 hizi hela zinaenda wapi nilizoambiwa nimepata kila siku huu ni wizi aiseee inauma sana unamweka mtu dukani unategemea upate hela wao wanaleta mambo ya hivyo aisee
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.