Kama lijinga....Kuna muda tunajizuia kuwapa maneno mnayostahili ila ngoja nikujibu hivi
Bwana mkubwa, ipo hivi hiyo Sovereignty mnayoipigia chapuo mmepewa kutoka kwenye sheria zao hao mnaowaita mabeberu ARTICLE 2(4) ya UN CHARTER
Hiyo Sovereignty ni Right (haki) na palipo na haki kuna wajibu...
Anaunda tume kuchunguza nini? Kwanini Watanzania tunarubuniwa kwa hoja za kipuuzi za watu kama yeye?
Kuna polisi angeua vile bila ruhusa kutoka kwake aliyejitamba kuwa ni Amiri jeshi mkuu? Akisema hakutakuwa na nywi nywi wala nywi nywinywi?
Aache maigizo ya hovyo na ya ajabu kwa watz...
Kwani samia hiyo mitano alipitishwa na Chama? Samia kaingia kikatiba kuikamilisha awamu ya 5 na si vinginevyo
Ni mjinga tu aaminiye hii ni awamu ya 6
Period.
The definition of rape varies from one jurisdiction to another, for example in Tanzania a male cannot sue for rape because when the court comes to test the elements it will fail to reach a consensus that the man was raped,
so there is no rape for a man in Tanzania. Now let's go back to the...
Hakika kwa weledi wa askali wetu hawa vijana sasa wameanza kujulikana, huenda hata wale waliopotea watakuja baadae kujitokeza mbele za umma wa watz baada ya malengo yao kufeli
Hakika jeshi letu kwa akili na weledi katika criminal intelligence wapo vyema sana, maana kutambua mitego ya hawa...
Ila wewe jamaa una akili fupi sana, kuitwa dada poa na kufungua kesi maana yake ni kukataa kuwa yeye sii dada poa, hii inamaana kuwa maneno hayo si ya kweli au tuhuma si za kweli
Sasa kama tuhuma si zakweli na zilitolewa hadharani yaani kuna publication maana yake ni Defamation, Sasa sijui...
Mkuu hapo bado sana, tarehe 7 October wasioipenda Israel 🇮🇱 ilifurahia mauaji na utekaji wa watoto na raia wa Israel,
Ila kipigo kilipogeuka dhidi yao, zile shangwe hakuna bali vilio, mtoto alililia wembe wacha umkate tu hakuna namna, mpaka watakapoachia mateka kwani vita dhidi ya ugaidi ina...
Mungu Alipo muumba Adam alimfanyia msaidizi, elewa neno MSAIDIZI, tatizo jamii ( hasa wewe mleta mada) mmejaa akili za kimaskini na ujinga mwingi kiasi kwamba unaona mwanamke hapaswi kuhudumia familia au kumsaidia mmewe majukumu,
Ni either hujasoma au umeachika kwa upuuzi wako na unataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.