Recent content by ajabu

  1. A

    Heri Zitto Kabwe kuliko Dr.slaa

    Slaa hawez hama chadema kamwe..anasubiri ccm waibue lao likikamata fikra za watu ndio aje kuzirudisha...chadema haina viongozi wajinga kiasi hicho
  2. A

    Tangu lini wanaCCM wakaitakia mema Chadema Kuwa makin

    Duu! Mwaka huu kazi ipo
  3. A

    Hili neno, “Mwanaume ni kichwa cha nyumba” huwapa kibri sana hawa viumbe

    Alie sema kuwa mwanaume ni kichwa cha nyumba ni Mungu mwenyewe na alikuwa anajua kwamba binadamu wanapaswa kuheshimiana kujadili kuwa kauli hiyo inamakosa nikusema NENO la Mungu linamakosa na kama ni hivyo basi nikuuambia ulimwengu kuwa Mungu ni mwongo!!! si kwelitafakarinki upya
  4. A

    Ipe maneno Picha yangu

    vulugugu zote zitaishia pembe4
  5. A

    Noti ya shilingi mia tano kubadilishwa kuwa sarafu

    kikwete utakumbukwa kwa upumbavu unaoufanya
  6. A

    Ujanja wa Mheshimiwa Kikwete ,Wajumbe wa bunge la KATIBA more than 70% ni CCM

    Acha Ccm Wachakachukue Wanajidangny Maana Baada Ya Uchagz mkuu 2015 tutaaza mchakato wa katib ya wananch
  7. A

    Yathibitika: Kutooa au kuolewa ni kaburi la mapema…!

    nikweli na ndo maana micba ming ya wanaokufa ni mapadri na masista c ndio?
  8. A

    Acha tufe,ugonjwa umekaa pabaya

    umekaa njia panda
  9. A

    Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

    tuwe wa kweli mada inajambo la zaidi hii kwani Said Muhamed amefanya nini hadi mtoa mada aseme haya?
  10. A

    Kilio cha Mlalahoi: Kupanda kwa bei ya umeme wanasiasa mko wapi?

    Bado mij2 unamshabikia Lowasa wakat garama hz ye ndo ka7bisha, shame on them
  11. A

    Waislam:Tumpe pole na kumwombea sheikh Ponda huku Tukifungua Ukurasa Mpya Wa Hatima Yetu

    Natamani ufike wakati tunao muamini Mungu tuache kabisa kufikiria serikali inaweza kutupa haki yetu, ninaamini Mungu mwenyewe anaweza kutupa fursa ya kupambana na kupa yale ambayotunaamini ni haki yetu, tukumbuke kuwa serikali wao wanakazana kwa juhudi zao zoote kuijenga dunia iwe mahali pazuri...
Back
Top Bottom