Mhere Mwita kabomoa kambi ya CUF mkoani Lindi wanachama 60 wahamia CHADEMA

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Akihutubua mkutano huo juzi Kamanda Mhere Mwita kwa Jina jingine anajulikana kama Mwana Wa Geita amehutubia maelfu ya watu Lindi mjini kwa kipita hotuba yake iliokuwa ni kulaani juu kushuka bei ya korosho ambayo imeshushwa na serikali kutoka Shillingi elfu 2500 bei ya zaman mpaka shillingi 600 bei ya sasa kutokana hilo kamanda huyo amewambia wananchi ya Linda kuwa pamoja kwa kukichagua chama cha chadema ifikapo mwaka 2015 kwani ndio mkombozi wao aliobakia kupitia mkutano huo kavuna wanachama wapya 60 wengi wakitoka vyama vya vya CCM na CUF wakisema wamechoka na uzandiki pamoja na ujununi na ahadi hewa za mbunge wao.
 

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
0
Siku hizi tunataka uweke picha, bla bla hatutaki wewe kweli redio kifua. Mkutano huo nilikuwepo wala ulikuwa hauna watu na wala hakuna mwanachama yeyote aliejiunga au kurejesha kadi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom