umefanya vizuri kuja na master plan y a singapore,lakini tofauti ya mipango ya kwetu na wenzetu,wao wanasimamia na kutekeleza mipango yao.sisi siasa tu.yapo mambo mengi ambayo hatukuyafanyia kazi mf mambo ya south south commission,maisha bora,yote haya kutekelezwa.hongera mama umejaribu lkn...