Recent content by aj styles

  1. aj styles

    Vifurushi vya simu

    Jamanii mitandao ya cm nyoko[emoji38]..Tigo Wamekuja na Halichachi Airtel wakaja na Halivundi Jana voda wakaja na Haliishi..Leo nasikia Zantel wanakwambia achana na Viporo...Lol Bado Haloteli
  2. aj styles

    Kufulia kubaya

    *nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi?* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kufulia kubaya tunatafuta sababu. *By Bible*
  3. aj styles

    Kufulia kubaya

    *nimesoma amri 10 za Mungu kwenye Bibilia cha ajabu sijaona amri ya kumpa demu hela, Hivi hii amri ya kuwapa mademu hela wanaume tumeipata wapi?* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kufulia kubaya tunatafuta sababu. *By Bible*
  4. aj styles

    Kuwa makini

    Chagua Mwanaume sahihi kwa nafasi sahih lasivyo utabaki unashangaa kwann haupati jawabu japo ushawachagua weng!..Mschana1 hata akitembee na wanaume4 hawez pata mimba ya wanaume4 lakin mwanaume1 akitembea na waschan4 wote wa4 watapata mimba......Tulii
  5. aj styles

    Click apa kutazama video yangu

    Thanks kwa ushauri wako ndg
  6. aj styles

    Click apa kutazama video yangu

    Mimi ndio naanza kufanya sanaa bado cjajulika
  7. aj styles

    Click apa kutazama video yangu

    Hiyo ni video yangu ya nyimbo
  8. aj styles

    Click apa kutazama video yangu

    Ipo pia youtube
  9. aj styles

    Click apa kutazama video yangu

  10. aj styles

    Video: Aj Styles: Mtu Bee

  11. aj styles

    Hii kali

    Mume na mke wameingia hotel ya kifahari mambo yalikuwa hivi: MUME:Wife unakula nn? MKE:Utakachokula na mie hichohicho. MUME:Mhudumu..!! MHUDUMU:Naam mkubwa nikusaidie nini tafadhali? MUME:Chips na kuku sahani mbili bei gani? MHUDUMU:20,000/= MUME:Inakuwa na kachumbari? MHUDUMU:Ndio mkubwa...
  12. aj styles

    Mke azimia kwa SMS

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeona eeeeh
  13. aj styles

    Mke azimia kwa SMS

    Bwana mmoja alisafiri kwenda kijijini, alipofika akakuta mtandao wa simu unapatikana bila matatizo. Akamwandikia mke wake sms. Kwa bahati mbaya akakosea namba na ikamwendea mtu mwingine ambaye alikuwa ni mwanamke mjane. Yule mjane baada ya kuisoma akaanguka na kuzimia! Mwanae kuona vile...
  14. aj styles

    Mbele ya hela binti usharobaro achia mbali

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. aj styles

    Nafasi za kazi Mtwara

    Hyo tarehe haipo ktk kalenda
Back
Top Bottom