Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,819
- 2,473
Good people
Nahitaji watu 4 kwenda nao Mtwara kikazi kwa siku 3.
Usafiri,chakula na malazi vyote vinatolewa na kampuni.
Ni kampuni kubwa inayo jihusisha na uchimbaji wa gesi asilia.
Ni kuanzia Feb. 29 hadi Feb.31
Malipo ni $.70 kwa siku.
Atakaye penda kujiunga au kama una ndugu au jamaa nijulishe.