Hii kali

aj styles

Member
Feb 9, 2017
17
14
Mume na mke wameingia hotel ya kifahari mambo yalikuwa hivi:
MUME:Wife unakula nn?
MKE:Utakachokula na mie hichohicho.
MUME:Mhudumu..!!
MHUDUMU:Naam mkubwa nikusaidie nini tafadhali?
MUME:Chips na kuku sahani mbili bei gani?
MHUDUMU:20,000/=
MUME:Inakuwa na kachumbari?
MHUDUMU:Ndio mkubwa.
MUME:Kachumbari nayo bei gani?
MHUDUMU:Kachumbari bure bosi.
MUME:Basi tunaomba kachumbari sahani mbili..!
Hahahahahahaha duh!
 
Hii ungeipeleka f.b ungepata likes za kutosha huku j.f hana haina supu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom