Recent content by Aithan Jr

  1. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Ni sawa unayosema ila unakumbuka aliuitaje huo mziki? Hadi akakataza watu wasipige kwenye vituo vya redio na tv! Kwamba watakuwa wanazidi kumkosea Allah! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Jilinde na vyote Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Dunia imepumzika, Usawa umerudi, Afrika imeshangaza Corona itaondoka kama ilivyokuja.. Bila tiba wala kinga

    Umeongea ukweli brother Mshana. Africa tusingeweza kufua dafu kwa kuudhibiti huu ugonjwa hata kidogo. Hata Mungu ametuhurumia kwa hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Sina cha kujivunia katika umri huu kwa hiyo nimepiga marufuku mtu yeyote kuniita mzee wala kuniamkia shikamoo

    Muda ni mali Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Kupitia Corona Serikali za Dunia inabidi zijifunze kwamba afya ndio mtaji wa nchi kujiendesha

    Wanajua kupima tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Mfalme Mzee Yusuph amethibitisha kurudi kwenye taarabu

    Mungu hadhihakiwi kabisa. Ukisema umeacha ya duniani naye anakuondolea yote uliyopata duniani ili uanze na MUNGU upya. Sasa jombaa kaona hali si hali arudi mule mule. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Aithan Jr

    JamiiForums Tanzania Hali ishaanza kuwa mbaya hapa Geneva, Corona anataka kuletea balaa

    Africa huwa hatuabudu magonjwa haya. Yanakuja lakini kwa uwezo wa Mungu yanarudi huko huko KWA WEUPE. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba zifuatazo ni dalili Kuu kabisa za Mwanamke anayeingiliwa na Mwanaume Kinyume na Maumbile?

    Hatari kwa kweli! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wangapi wanayapenda haya maisha?

    Kila mtu anapenda maisha ya furaha kama hayo. NGOJA NITAFUTE PESA KWANZA. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unataka kuoa? Oa ukijisikia kutoka moyoni!

    Sawa sawa ndugu. Tumekusoma Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaoramba nyuchi za kike mnatuharibia ambao haturambi!!

    Basi TULIENI tu hivyo hivyo kama mnanyolewa. Hakuna jinsi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

    Asante kwa TIPS Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila mtu na fungu lake...

    Ngoja nisubirie Fungu langu tu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni Jina la kiingereza zuri kuliko yote la kumwita mtoto wa kiume mwaka 2020

    Aithan Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Aithan Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania We Ngosha umenifanya nisichakate zaidi ya wiki mbikli

    Aisee! Hatari sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom