Kuna wimbo nautafuta umeimbwa na msanii anaitwa NTOMBE ulipigwa sana enzi niko mdogo jina la wimbo siujui lakin moja ya mashairi yake unaimbwa hivi [emoji444]mwanangooo mwanangooo lekatula kilindiiii asyere mwanangooo[emoji445][emoji444]
Kwa upande wangu naona ukiishia tu kusema hakuna Mungu wafia dini hawawezi kukuelewa hata kidogo, inabidi waafrika wote watangaziwe kwamba MUNGU na SHETANI wote hawapo na wala hawajawai kuwepo au Kama yupo basi ni kiumbe mmoja mwenye sura zote mbili yaani upande Mungu na upande shetani kama...
Bila shaka Allah asipojibu dua za waislamu atazibuliwa kishenzi, maana watu hawa wanahasira sana kuswali mpaka vidonda kwenye paji la uso halafu bado unakufa maskini dua hazijibiwi sio sawa
walio wanyonge karibia wote hawamtaki hata kumsikia, lakini wenye afadhari wanamshabikia kwa unafiki ili waendelee kuwepo kwenye nafasi zao, wanaogopa yasiwakute kama yaliyomkuta mgogo
umeongea bonge la point, watu wengi huyu hawamuelewagi kabisa, wanaomshabikia ni wale wanaonyenyekea ili wapate maslahi fulani, lakini mioyoni mwao hawamkubali kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.