Recent content by AirSongwe

  1. A

    Matokeo ya usaili wa kuandika (written) ya tarehe 14 Januari 2023

    Bado hawajatoa watu walikua wengi Sana ni LGAs & MDAs
  2. A

    Wapenzi Wa Movie Za Naija, Tujikumbushe

    Ni Sandra au "Cassandra " , tuliwekewa olevel shuleni inafundisha mno.
  3. A

    Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Mkuu Una PDF ya mankiw , Je ni edition ipi 8th ,11th au maana ana vingi
  4. A

    Mwana FA

    Hawajui ndo Kali ft Jaydee
  5. A

    Weka Picha kali toka kwa simu yako

    Mbeya city
  6. A

    Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Hivi economist MDA & LGA wameita
  7. A

    Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

    Songea mkoa wa Ruvuma , Moshi wa Kilimanjaro Musoma mkoa wa mara Kibaha mkoa wa pwani
  8. A

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Dah tunazisubiri Kwa hamu hizi
  9. A

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Esperance kashinda Leo ana point 20. Officially sahel hawez fikisha point za monastir 18 . Na asipoangalia hata conferederation anaweza asiende
  10. A

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Simba attanza first round hakuna second round ,inaitwa preliminary round atayoanzia yanga
  11. A

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Dah mazee sahel amepigwa na us monastir amebaki na point 11 na mechi mbili mkonon akishinda zote ana 17. Esperance ana point 17 anacheza kesho. Sahel kabakiza game na Esperance na club African . Tuombe dua dua Kesho Esperance apate hata sare afikishe point 18 kama monastir mchezo umeisha
  12. A

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Bado ana game tatu point 11 ikiwepo ya Esperance . Dah namuombea njaa tuanzie first round
  13. A

    Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

    Egpyt ... Al ahly na zamaleki (1&2) Morocco... ( waydad&raja) 3&4 Mamelod , petro atletico na horoya... tayar mabingwa ( 5,6&7) Mazembe wanaongoza Congo na Esperance anaongoza tunis ( 8&9) . Berkane ,pyramid wapo top 10 wataenda shirikisho. Simba tupo nafasi ya 14. Sasa apo tunamuombea njaa no...
  14. A

    Simba SC Haijaandaliwa Kimfumo wa KNOCK-OUT-

    Wana 812,000,000 huko robo , akifika nusu Dola 450,000 ( 1,044,000,000). Ila south patakua pagum sana
Back
Top Bottom