Wapenzi Wa Movie Za Naija, Tujikumbushe

Kuna ile filamu ya kinaijeria ya kichawi nakumbuka kuna scene moja kuna dogo mmoja alimpiga mwenzake sasa mama yake yule aliyepigwa alikua ni mchawi kisengee akaja akamgeuza aliyempiga mtoto wake kua kuku..
Sijui inaitwaje anayeijua tafadhali...anikimbushe jina
 
Back
Top Bottom