Recent content by Airo

  1. Airo

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    2:16
  2. Airo

    JamiiForums Tanzania Mtu gani alikuja katika maisha yako alikusaidia na kuondoka

    Ni kweli mkuu alikuepo kwa wakati husika kwajili yako. Moments kama hizo zinamjenga mtu na kumpa ujasiri
  3. Airo

    JamiiForums Tanzania Ma-jobless thread

    Kwa kipindi cha nyuma sikua interested sana na mpira lakini kutokana na ujobless, Asee nimejikuta mpira simba na yanga naifatilia hadi kwenye group la familia nachangia tena mstari wa mbele hadi wakati mwingine nawaza usikute ndugu wanasema huyu kijana kazi yake kufatilia mipira tu nakua naoga...
  4. Airo

    JamiiForums Tanzania Vituko na vimbwanga safarini

    Hatari sana hii
  5. Airo

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maajabu yaliyokuwa yakitokea katika daraja la Mto Kirumi?

    Ndoo apo tunapojua kwamba kuna kuzidia Wazee walikua hawataki pajengwe au!?
  6. Airo

    JamiiForums Tanzania Je, unafahamu maajabu yaliyokuwa yakitokea katika daraja la Mto Kirumi?

    Wataliano ilibidi Warudi kwanza kwao kwa muda🤔 waliporudi kila kitu kilikua sawa 👏😃 walienda kujifua upya
  7. Airo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Shukrani mkuu
  8. Airo

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Naomba kuuliza mfano nina mdogo wangu hakupata matokeo mazuri awali kidato cha 4 alipata 0. Akaenda kurudia mtiani na akapata credit 3. Akajisajili tena kama private candidate na kufanya mtiani na kufaulu vizuri. Alienda JKT mujibu wa sheria na cheti anacho. Swali je uyu mtu LEAVING...
  9. Airo

    JamiiForums Tanzania Usidhani shetani ni mdogo kama unavyofikiri

    Umejibu vyema 👏
  10. Airo

    JamiiForums Tanzania Special thread: Missing someone with special memories in your life

    Maisha yanatutenganisha na wapendwa wetu. Hivyo basi kila mtu apatapo chance ya kuenjoy na mtu awe rafiki au yyte enjoy coz ikipita imepita Wanadamu tunabadilika yule uliyenae Leo anaweza asiwe yeye wa kesho au wewe wa kesho Mtu mkishatengana moja. 1. Awee mzuri Zaidi au awee mbaya zaidi...
  11. Airo

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Ushakula UGALI wa watu bure😅😅 apoo ni kuulipia sasa
  12. Airo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    OP gani iyoo😂
  13. Airo

    JamiiForums Tanzania Sababu za kufichwa kwa kitabu cha Enoch

    Maji yawe wino, mbingu ziwe karati haziwezi kutosha kuandika sifa zake Yesu
Back
Top Bottom