Recent content by AIG

  1. AIG

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Dias yupo aggresive sana mpaka kwenye maeneo hatari ajifunze kwa van dijk
  2. AIG

    Kwa matokeo haya ya Kidato cha Sita naombeni ushauri wenu

    Rudia mtihani diploma utazunguka sana
  3. AIG

    Wale wenye GPA kuanzia 2.1 mpaka 3.4 tukutane hapa tuyajenge hapa

    Siku zote penda ku achieve the best, kulipwa mshahara haiondoi uhalisia wenye ufaulu mdogo wanakuwa na wivu ndio maana wanahangaika kujulinganisha na vipanga kama vyuo vya kata vinavyohangaika kujulinganisha na udsm
  4. AIG

    Naomba msaada wenu wakisheria wakuu

    Hio ni minor issue nunua koki ukija kumlipa kodi ya miezi mitatu mingine baada ya hio uliolipia kuisha unakata hela yako ya koki
  5. AIG

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hii timu kwa sisi wapinzani tunaichukia halafu inabidi tuipende tu kwa kandanda safi wanalocheza
  6. AIG

    Je, bado GPA kali ina msaada?

    GPA kubwa bado muhimu kwenye maeneo mengi mfn Assistant Lecturer naona vyuo vingi wanachukua GPA 3.8 undergraduate na 4.0 Master's degree
  7. AIG

    Je, bado GPA kali ina msaada?

    Binadamu tunapenda kujifariji sana wenye GPA ndogo ndio wenye makampuni [emoji28][emoji28][emoji28]
  8. AIG

    Watanzania wapo makini sana kwenye memes kuliko mambo makini

    Sio kila wakati wa kuwa serious
  9. AIG

    PGDE ni kozi halali au haitambuliki

    Vigezo na masharti kuzingatiwa Kama ulikizi vigezo wamewezaje kukutoa
  10. AIG

    Msaada: Achague kozi gani kati ya hizi zifuatazo?

    Kwa mchepuo wake asome law Ina uwanja mpana anaweza kuajiriwa government,private au akafungua ofisi yake ,kwenye kujairiwa kozi ya procurement and logistic management pia nzuri
  11. AIG

    Msaada: Achague kozi gani kati ya hizi zifuatazo?

    Kozi zote hizo za kuajiriwa halafu sio pontetial kwasasa
  12. AIG

    Msaada: Achague kozi gani kati ya hizi zifuatazo?

    Kama dirisha la kuomba vyuo halijafungwa aombe tena
  13. AIG

    Feedback Ya Muwasho Sugu (Fungus) kwenye Korodani/sehemu za siri

    Candistat cream nishawahi kuwa na tatizo kama lako nikachoma mpaka sindano ila nilivyotumia hiyo cream ndio nikapona
Back
Top Bottom