Feedback Ya Muwasho Sugu (Fungus) kwenye Korodani/sehemu za siri

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Habari wakuu,

Kwanza kabisa, napenda kuwaomba Modes wasiufute au ku merge huu uzi na nyuzi nyingine.

Lengo la uzi ni kupata feedback tu za wale waliokua na fungus sugu sehemu za siri na wakapata dawa, wakapona kabisa. Naomba watujuze ni dawa gani walitumia wakapona kabisa.

Binafsi niweke wazi kuwa nina Muwasho Sugu kwenye pumbu since 2016. Nimetumia dawa nyingi sana bila mafanikio. Nimetibiwa Muhimbili na Kairuki kwa Dermatologists wazoefu lakini wapi. Nimetumia dozi kali za mwezi mara kadhaa nyingi, nimetumia cream nyingi lakini wapi.

Kuna siku humu jamvini member mmoja alisema Skerdem cream ni nzuri, nikainunua, nikaitumia, ninapona kabisa, ila cream ikiisha, after several weeks inarudi tena. So, Skerdem imebaki kuwa ndio kimbilio langu kila siku.

Naomba itambulike kuwa, navaa boxer kubwa za cotton, sirudii boxer, na nikifua boxer naianika juani na kabla ya kuvaa napiga pasi.

Pia naomba itambulike kuwa, Muwasho wangu siyo ule mkali ambao najikuna hapana. Ni muwasho tu wa mbali na pia Korodani ukiziangalia kwa macho, ni kama hazina shida kabisa.

Kipind chote hicho, dermatologist hawakuwahi kunipima, naomba kama unafahamu ni kipimo gani nifanye ili nijue nasumbuliwa na fungus ya aina gani anijuze pia.

Naomba aliyekua na tatizo kama hili, akatumia dawa akapona, anipe ushauri ili niimalize kabisa. Pia ushauri ni muhimu sana.

Asanteni na shukran

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka unaishi mkoa wenye joto sana...

Ikulu panatakiwa pawe pakavu so itakuwa vyema endapo ukipata nafuu basi utumie powder yoyote yenye cotrimazole mfano MYCODERM.

Na kuna vidonge vinaitwa Fluconazole, je uliwahi tumia hivyo?

NB: Mimi siyo Daktari.
Vidonge nimetumia hivyo.

Nipo Morogoro mkuu

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Candistat cream nishawahi kuwa na tatizo kama lako nikachoma mpaka sindano ila nilivyotumia hiyo cream ndio nikapona
 
Ndo hii mkuu?
images (42).jpg

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna dawa 1 kali sana lakini inafaa.
Chukua ndimu (ukikosa hata limau), ikate kati kati....kipande 1 kigawe mara 2, upate robo. Kamua robo 1 kiganjani na ujipake upande 1 wa pumbu na sehemu ya paja la kushoto. Malizia robo nyingine upande wa kulia. Fanya hivi asubuhi ukishaoga jifute na upake ndimu. Then jioni pia.....hasa unapotaka kulala. Fanya hivi siku 5, pumzika siku 2. Kisha fanya tena mara 1 kwa siku full week siku 7. Kisha iwe regular angalau mara 3 kwa week. Kaa mwezi 1 angalia kama zitajirudia.....zikirudi kapime damu.

Hakikisha unanyoa vuzi. Vuzi la kwenye pumbu, vuzi kwenye mapaja na vuzi eneo la chini ya pumbu. Jitahidi uwe kipara muda wote.

Jitahidi uwe mkavu huko chini wakati wote. Watanzania wengi tunapenda kutumia maji kujiosha baada ya kukata gogo. Ukweli ni kwamba maji maji yanalowanisha mapumbu na kutengeneza mazingira rafiki kwa fungus. Jitahidi sana uwe mkavu. Hata kama unatumia maji, ukishajiosha chukua toilet paper au tissue jifute huko down.

NB: Hiyo dawa inauma. Kuwa mvumilivu.
 
Nashukuru mkuu. Ngoja nijaribu kuanzia kesho

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Habari wakuu,

Kwanza kabisa, napenda kuwaomba Modes wasiufute au ku merge huu uzi na nyuzi nyingine.

Lengo la uzi ni kupata feedback tu za wale waliokua na fungus sugu sehemu za siri na wakapata dawa, wakapona kabisa. Naomba watujuze ni dawa gani walitumia wakapona kabisa.

Binafsi niweke wazi kuwa nina Muwasho Sugu kwenye pumbu since 2016. Nimetumia dawa nyingi sana bila mafanikio. Nimetibiwa Muhimbili na Kairuki kwa Dermatologists wazoefu lakini wapi. Nimetumia dozi kali za mwezi mara kadhaa nyingi, nimetumia cream nyingi lakini wapi.

Kuna siku humu jamvini member mmoja alisema Skerdem cream ni nzuri, nikainunua, nikaitumia, ninapona kabisa, ila cream ikiisha, after several weeks inarudi tena. So, Skerdem imebaki kuwa ndio kimbilio langu kila siku.

Naomba itambulike kuwa, navaa boxer kubwa za cotton, sirudii boxer, na nikifua boxer naianika juani na kabla ya kuvaa napiga pasi.

Pia naomba itambulike kuwa, Muwasho wangu siyo ule mkali ambao najikuna hapana. Ni muwasho tu wa mbali na pia Korodani ukiziangalia kwa macho, ni kama hazina shida kabisa.

Kipind chote hicho, dermatologist hawakuwahi kunipima, naomba kama unafahamu ni kipimo gani nifanye ili nijue nasumbuliwa na fungus ya aina gani anijuze pia.

Naomba aliyekua na tatizo kama hili, akatumia dawa akapona, anipe ushauri ili niimalize kabisa. Pia ushauri ni muhimu sana.

Asanteni na shukran

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
asubui ukiamka kunywa maji na punje tatu za kitunguu swaumu

nyoa mavuzi huko chini pendelea kupaka mafuta ya nazi huko chini

fua boxer zako n upige pasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom