Recent content by Aidaruss

  1. A

    JamiiForums Tanzania Nikaribisheni

    karibu sana ila usije ukabadilika mbelen njoo utajifunza mengi sana ukiwa mpole
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchangiaji maarufu Radio One Swai atupa dongo la kufungia mwaka kwa Wanawake Tanzania

    jifunzeni kupika wacbeni longolongo wanaume tunapenda vyakula vizuri na vtamu
  3. A

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

    mimi nimesoma urusi lakini sikuwahi kunywa pombe hata tone 1 ila warusi sio wazuri hasa wakijua wewe gineus ila pombe ndio tatizo kwau 75%
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchangiaji maarufu Radio One Swai atupa dongo la kufungia mwaka kwa Wanawake Tanzania

    kupika ni mtihani nimeshaoa mke wa pili kwa ajili ya mapishi tu
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kadri ninavyochapa wake za watu ndivyo hamu ya kuoa inapotea

    wewe endelea tu lakini sisi tanga huwa tunajua tunachokufanya na lazima mzazi wako yeyote awepo kubariki rinda zikifumuka
  6. A

    JamiiForums Tanzania Jeneza lilivyokataa kuingia kanisani kimiujiza

    waalijaribu kuvunja ukua mzima aingizwe
  7. A

    JamiiForums Tanzania Wanyama watano wanaopewa heshima jeshini

    je kwetu tutumie mnyama gani
  8. A

    JamiiForums Tanzania Operesheni "Gothic Serpent"!!!!!

    hizi habari za nusunusu hizi zinanikera sana ukianza maliza kunawachambuzi wa makala ndefu mwanzo mwisho wanakuja
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mashushushu wa Fidel Castro walikuwa na hisia ya sita (Sixth Sense)

    huwa ktk mitando ya kijamii napenda sana jamii forum alafu whatsap coz najifunza mengi nikiwa INTELIGANCE
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla ya kuoa au kuolewa, Utajuaje mchumba wako ni Mchawi au mshirikina?

    hupenda kila kitu anachokifanya lazima awe anahisi kitu fulani mfano akiamka asubuhi anakwambia kwa simu au live nimeota ndoto fulani lazima kunakitu yaani kila kimtokeacho ni jini au mkono wa mtu basi ujue huyo ndio type hiyo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Utata, upotoshaji na maoni yangu kuhusu mchoro wa Monalisa na Da Vinci Code

    hivi hizo cod zinamaana gani hasa kimsingi
  12. A

    JamiiForums Tanzania Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

    sio jaribio la kigaidi ni tukio kama matukio mengine mbona mnapaisha saaaaaana mpaka mnaboa badala ya majonzi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    duh hizi keli hekima
  14. A

    JamiiForums Tanzania Quran na uislam zilipishana wapi na kwanini??

    kila dini yapo hayo ni nafsi yako tu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeachana na mke wangu leo

    wewe ulikuwa humtaki Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom