Recent content by Aichase

  1. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi Abu Bakr al-Baghdadi [ISIS Leader] alivyouawa

    What does it mean to die like a dog? "die like a dog. Die miserably or shamefully. ... Indeed, this is the way a dog wouldplead for mercy. It may be that the reason dying like a dog is shameful is because, when threatened in such a way, a dog will beg for its life. For a human to do so can be...
  2. A

    JamiiForums Tanzania My trip to Geita, and what I saw

    "If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart." - Nelson Mandela.
  3. A

    JamiiForums Tanzania My trip to Geita, and what I saw

    Umeandika jambo muhimu sana ila, Watanzania wengi kwa ujumla hawana utaratibu wala mazoea ya kupokea habari au taarifa kwa njia ya kusoma. Tunaendekeza zaidi kupeana habari kwa njia ya mdomo ambayo ni simulizi / hadithii. (Haswa umbea). Pia ingekuwa vyema ukaandika kwa kiswahili au ukatafsiri...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

    Kiranga, katika sifa nyingi ulizonazo, mojawapo ni hii; wewe ni mwalimu mzuri sana
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wanyama wanaopewa heshima kubwa na mataifa mbalimbali Duniani na kutumika kama nembo za nchi zao

    Huyu kwa kiingereza anaitwa meerkat.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu kwanini hamjifunzi majina/maneno fulani yanatamkwaje?

    Hii L na R ni janga la taifa. Naona kama wanafanya makusudi maana hata kimaandishi wanaandika hivyo. Hivi somo la mwandiko bado lipo kwenye shule za msingi? Kuhusu wazungu kushindwa kutamka isiwe kisingizio kwetu. Akishindwa mzungu sio lazima na mwingingine ashindwe. Pia wale watangaza habari...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wetu kwanini hamjifunzi majina/maneno fulani yanatamkwaje?

    Kupata alama pungufu baada ya kuhitimu elimu ya kiwango fulani isiwe sababu jamani. Kuna kujiongeza pia. Matumizi ya smart phones, tv na redio vinasaidia sana kwenye taaluma ya habari. Kuuliza pia sio ujinga. kama hujui, huna uhakika unaweza kuuliza hata huku JF na utasaidika na kujifunza. Uvivu...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli unataka ‘ Uthibitisho ‘ gani tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Ndugu Makonda ni ‘ Bomu ‘ hatari unalolifuga?

    Uko sawa sawa kweli?! We ndo unataka kukuza mambo sasa. Haya mambo ya miaka ya 90 Meru hayaingiliani na hali halisi iliyopo juu ya PM. Alichosema Askofu na alichosema RC msibani vinahusiana. Ukweli ni kwamba kauli ya PM imewakwaza wengi mno, wachaga na wasio wachaga. Askofu na Katibu wa CCM...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Nimeshatoa taarifa TCRA, nimewataka wamkamate aliyenichafua kama wanavyowakamata wengine, La, Jumapili patachimbika sababu namjua

    Kweli wanawake kazi ipo. Nilikuwa sijaona post yako ya 2. Sasa nimekuelewa.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanateswa na kufukuzwa Israel?

  11. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanateswa na kufukuzwa Israel?

  12. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanateswa na kufukuzwa Israel?

    Hata sielewi kwa nini Waafrika wengi hupenda kwenda kuhiji huko. Pesa zetu za utalii ni nzuri ila sisi kama binadamu .......! mhh
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanateswa na kufukuzwa Israel?

  14. A

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waafrika wanateswa na kufukuzwa Israel?

    cc niah, Nkanini, Number 41, BAK na wengine wote.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Daah! Haya maisha bwana, mi yanaelekea kunishinda! Hivi ni sumu gani inaua haraka bila mateso?

    Mpauko Wewe ni mwalimu wa kujitolea?
Back
Top Bottom