Mkuu masuala ya ajira ni magumu dunia nzima, lakini nchi za ulaya magharibi kuna unafuu mkubwa sana ukilinganisha na sehemu zingine za dunia, kama upo ulaya na unaishi kihalali huwezi kukosa kazi labda kama unachagua kazi za taaluma fulani tuu, hivi sasa ulaya magharibi kazi ni nyingi sana na...
Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu
Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
Mkuu kama ikiwezekana labda tujue ni mapato kiasigani kenya wanakusanya ukiliganisha na kwetu, pia tulinganiishe bajeti za wizara muhimu kama kilimo na viwanda
Nadhani tanzania tuna kosa sera na mipango ya maendeleo kulingana na mahitaji na uwezo tulio kuwa nao wa kifedha, bandari ya dar bado ina kidhi mahitaji yetu kwasasa, hivyo kwa mipango ya baadae labda mradi wa bandari huu wa bagamoyo ungepelekwa tanga au mtwara,
Tanga ni karibu na nchi za...
Idadi ya ya watu ni kubwa mno ungilinganisha na huduma za afya zilizopo. hivyo kuna umuhimu wa kuongeza hospital, zahanati na vituo vya afya
wakati hili likifanyika ziwepo jitihada za kuongeza idadi madakttari wauguzi na wakunga pia mboreshe maslahi ya watoa huduma hasa mishahara , marupurupu...
sera ya kilimo au sera za kilimo zaweza kuwa kwenye makaratasi lakini kwenye utekelezaji bado kabisa, kilimo kina hitaji mabadiliko makubwa sana yapaswa tuwe na kilimo cha kisasa tuanze kwa kumtoa mkulima kwenye jembe la mkoni na kumuwezesha kumiliki trekta au kulima kwa trekta sambamba na...
Naomba nianze kwa kuwapongeza wana JF kwa kazi kubwa na nzuri ya kuhabarisha na kufundisha mambo mbalimbali yanayo gusa jamii
Pia nikiri kwamba nimekuwa mnufaika wa taarifa na masuala mbalimbali yaliyomo humu JF
Ahsanteni sana kuniunga humu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.