Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

Hiyo bajeti ndogo ya tanzania itafanya mambo yenye thamani kwa kubwa kwa umma kuliko ya kenya. Kenya kiasi kikubwa kitaishia mifukoni kwa watu kwa rushwa.
Sisi waTz ndio hatuna wala rushwa? hapa tunajadili bajeti bado hata hatujajadili bajeti ya mwaka wa fedha uliopita ilitekelezwa kwa asilimia ngapi, ni aibu kupigiana makofi kujadili bajeti ya kwenye makaratasi. Hivi ni lini tutaacha blah blah nchi hii.

Mwigulu mbwembwe zote zile kuingia bungeni na ving'ora ni kwenda kuwasilisha bajeti ya kwenye karatasi ambayo hatujui utekelezaji wake utafikiwa kwa asilimia ngapi!
 
Tatizo si ukubwa je imejumuisha nini? Je ina reflect makusanyo yao? Utekelezaji was miradi yao je??
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
 
Trilioni 34 ndiyo bajeti ya watu milioni 60 wakati tajiri mmoja wa Marekani anayeitwa Jeff Bezos ana utajiri wa zaidi ya trilioni 354. Yaani mtu mmoja ana utajiri wa zaidi ya mara 10 ya bajeti yetu ya watu milioni 60. Fikiria hilo kwanza ndiyo utajua ni jinsi gani Ujamaa ulivyotuchelewesha kimaendeleo na kuturudisha nyuma.
Wewe una hela ngapi sema
 
Unajifanya Mjuaji. Porojo nyingi.
Je sisi Tanzania ni lini tuliweza kutekeleza Bajeti kwa asilimia 100 au hata 50.
Hata hii tu Bajeti kwa kiasi kikubwa tunategemea wahisani.
Tanzania tukiwa Serious tunaweza kufanya Makubwa kuliko yeyote Afrika Mashariki.
Kuna jambo sote kama raia na serikali tunapaswa kufanya.
Ni hiyo mistari miwili tu ya mwisho ndiyo ninayoweza kukuona wewe kama una akili zxa kutosha kichwani; hayo mengine yote na mada iliyowekwa mbele ni upuuzi mtupu.
 
Bajeti kubwa haiimaanishi kwamba ndio inaleta maendeleo. Kenya wanabandika manamba makubwa kwa sababu kwa sehemu kubwa wanatumia Expenditure-Driven budget yaani sehemu kubwa wanapanga bajeti kwa ajili ya matumizi zaidi kuliko maendeleo na kulipa madeni pia. Mpaka ninapoandika hapa Kenya inakopa zaidi ya nchi zote ukimjulisha kwa pamoja hapa Afrika mashariki ili kujazilishia bajeti yao...
Acha hadithi za maccm wenzio,vitu kwenye ground vinaonekana wametuzidi mbali sana
 
Wakenya kuwa mbele yetu isiwe sababu na wala tusiwachukie kwasababu hiyo, tujiulize shida yetu inaanzia wapi, binafsi naamini shida yetu imeanzia kwa hii kitu inaitwa CCM na vyote vilivyomo ndani yake.

Kikulacho
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
Huna viwanda vya kutosha utaendeleaje?
 
Bajeti kubwa haiimaanishi kwamba ndio inaleta maendeleo. Kenya wanabandika manamba makubwa kwa sababu kwa sehemu kubwa wanatumia Expenditure-Driven budget yaani sehemu kubwa wanapanga bajeti kwa ajili ya matumizi zaidi kuliko maendeleo na kulipa madeni pia. Mpaka ninapoandika hapa Kenya inakopa zaidi ya nchi zote ukimjulisha kwa pamoja hapa Afrika mashariki ili kujazilishia bajeti yao...
Mkuu kama ikiwezekana labda tujue ni mapato kiasigani kenya wanakusanya ukiliganisha na kwetu, pia tulinganiishe bajeti za wizara muhimu kama kilimo na viwanda
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya...
Mipango siyo matumizi. Embu kaangalie bajeti hiyo inatekelezwa kwa asilimia ngapi!!!
 
Asingekua magufuli tingekua bado tuna tr 23
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
Sera ya chadema ni ubepari wenye kuamini uwekezaji wa mitaji,technogia, ubunifu wa sayansi na technologia na ukuzwaji wa sekta binafsi kama ingini ya uchumi , ccm wanaamini nini?
 
Kabisa.. ila watu wanaleta siasa..sana.
Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..

Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...

Tungekuwa wajanja tungeifanya KIA kuwa the biggest Transit Airport in Africa...
Ingesaidia mno watalii wanakuja wanatua kwanza KIA halafu ndo wanaamua kwenda Kenya au Dar au Zanzibar...

Hili kufanyika linahitaji brains sio blah blah
 
Magufuli ndio kaipandisha kutoma tr 20s kwenda 30s tr
Ukweli mchungu Jiwe alichezea uchumi miaka 5 bila budget kuongezeka wala kuwa na graph inayopanda

Sasahivi tungekuwa kwenye trion 50 ila utoto wa kuchezea walipa kodi na kuwafirisi ndio zao lake hili.
 
Back
Top Bottom