Recent content by Ahmras

  1. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke atuhumiwa kuua waume zake, mjamzito na mtoto kwa sumu

    Dah jamaa kampa Mali, kampa mbegu zake kuwa mtoto na bado akasalitiwa na kuuwawa. Huzuni sana.
  2. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke atuhumiwa kuua waume zake, mjamzito na mtoto kwa sumu

    Katika maisha yangu sijawahi kuona mtu jasiri, katili, mwenye juhudi na asietabirika kama mwanamke. Ni mama zetu, dada zetu na wake zetu ila mhhhhh acha tuishi nao kwa akili.
  3. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wadada wengi hampendagi kutuunganisha Kimapenzi, sisi wakaka na rafiki zenu wa kike?

    Pasi ya Chama hiyo
  4. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

    Amekusikia Dada. Amekoma huyo, harudii tena.
  5. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo ya kiburi

    Hii sio sahihi
  6. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo ya kiburi

    Inawezekana pia. Asije akatarajia atafanyiwa makubwa yaliyo mazuri. Afanye kama msaada tu.
  7. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya ndio malipo ya kiburi

    Msaidie tu kwakuwa upo karibu nao na wanahitaji msaada wako. Ila Fanya kama ubinadamu tu. Usije ukahitaji fadhila zozote baadae kutoka kwao, fadhila kama upendo toka kwao n.k.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto, Hofu na Uchamungu

    Itapendeza kama pia tutasema mambo mengine ambayo tunajikuta tukiyafanya basi mtu moja kwa moja anajiweka karibu na Mungu, sala sana, toba sana. Maana mimi nimetaja machache tu ila kiuhalisia yapo mengi tunapitia zaidi ya hayo.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto, Hofu na Uchamungu

    Sawa poa. Ni njia nzuri pia hiyo kujifariji. Kuna ile gospel ya Martha Mwaipaja. Nadhani unaijua faraja yake.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Changamoto, Hofu na Uchamungu

    Salamu kwenu wana JF, aomba kuuliza kitu wanajamvi, Ni kipindi gani mtu anapenda kuwa karibu na Mungu kati ya hivi vifuatavyo? Yaani anapenda kusikiliza nyimbo za dini na kusifu, anaswali sana, kufanya toba na ibada, anasoma Biblia au Quran mno; 1. Akiachwa ama kusalitiwa na mpenzi au...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Pesa kwenye giligilani

  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar

    Wasalam wakuu, naomba kufahamishwa mwenye kujua bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Pesa kwenye giligilani

    Wasalam wadau, bila shaka tu wazima kwa ulinzi wa Mungu. Naomba kufahamishwa kwa mwenye kujua bei ya kilo ya giligilani kwa mosoko ya dar.
  14. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi ugonjwa wa moyo unaniwinda baada ya kuachwa na mwanaume aliyenizalisha

    Wa Wanaume wengine bwana wanamatatizo. Sasa kama ulikuwa una mke na mtoto kwanini umzalishe mtoto wa watu kwa madai utamuoa. Ndio baadae utaona wazee hawa wanalalamika fulani ni mwanangu Ila ni hanijali, anamjali mama yake tu. Mtoto kakulia kwa mama na hukuwa na muda nao, atakujali vipi...
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki wanaume wenye pesa

    Ila si ndio nyinyi mnataka wale wale waliotusua kimaisha!!. Mwengine anaona ufahari kuolewa na mwenye pesa hata akiwa na umri wa babu yake. Hasa umkute mwanamke mzuri halafu awe na chura. Alalala akimuona mwanaume ambaye hana pesa anamuona kama mtu wa ajabu tena asiye kuwa na akili ya kutafuta.
Back
Top Bottom